Ndio tusema Lowassa ndio Fisadi pekee, hebu tuambie , maan mbaka sasa nimchenganyikiwa fisadi ni nani , sababu tumeona IPTL ,sijui Escrow, vibali va sukari ,Mara Lugumi yani ma vitu vingi sana , yani huyu Lowassa atakua mbaya sana kwa kweli ,kafisadi sana nchi hii, au nime kosea?