Recent content by calyx

  1. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi kirahisi

    una fikra duni sana ndugu. Huna uwelewa na unachokiongea. Kama ushauri haukuhusu achana nao.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi kirahisi

    nina Masters of science in biometrix engineering.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi kirahisi

    Kutokana na tatizo la ajira TZ. Nafasi za kazi ni chache kwa upande wa fani za utawala, biashara, utalii na hata uchumi. Ushauri wangu hasa wale wanaenda vyuoni wasome kozi zenye nafasi nying za ajira hasa sayansi kuliko kukazania kozi za sanaa. Mfn BA. Publc admistration, ambazo ni ngumu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watu balaa ngoja nijitokee

    Uhamiaji hoeee..! Ama kweli wakiniita nitavunja recod,
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maswali na majibu ya test ya Mkaguzi Msaidizi Uhamiaji

    Wacpo niita nawaloga wizara nzma
  6. C

    JamiiForums Tanzania Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    dah upo juu mkuu. Apo wataenda cdhan kama elfu nne wanafika
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimeamini watanzania sisi bado sana

    Mim nina bachelor ya electrical engineering bt ilo tangazo lako halijakizi vigezo vya matangazo ya ajira, ebu fafanua zaid. Na mshahara au posho weka apa na mkataba hakuna.!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Waliopata barua zimamoto

    nadhan inspector kishindo umechinja ng"ombe hongera kaka
  9. C

    JamiiForums Tanzania Zimamoto tayari

    Sio lazma atoe assistance inspector kishindo , wizara haina hela so ndio maana wanachelewa. So kuwa nasubira
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hatimae uhamiaji yametimia

    Kuwen na subira mkaguz msaidiz wa uhamiaji wataita serikal haina hela bajet ndogo kwaiyo mtaenda mafunzo miez mitatu tu, kisha mtaanza kaz
  11. C

    JamiiForums Tanzania Waliopata barua zimamoto

    aya inspector kishindo
  12. C

    JamiiForums Tanzania Waliopata barua zimamoto

    Jaman wenye taarifa kuhusu kuitwa kwenye usaili na wizara ya afya na ustawi wa jamii anijuze. Ni miez sasa imepita tangu watoe post zaid ya hamsin. Ikiwemo post za walfare, env.health, clinical oficer Natanguliza shukran
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hatimae uhamiaji yametimia

    Mkaguz msaidiz itakuwa kilio tu kwa jinsi ninavyoyaona hapa uzun
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hatimae uhamiaji yametimia

    web yao ina trojan gen so tumia simu, kama kompyuta yako ina avast premium inaifunga web
  15. C

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji vipi jamani?

    Uhamiaji rest in peace
Back
Top Bottom