Ningekuwa nimeitwa hapo nisingetokea mazima
Acha uoga wa maisha,maisha ni mapambano.
Haijalishi hata kama watapitia kwenye mchujo wa panel rushwa iko palepale it is a survival for the fittest
Katika hili,watu wanapungua kwa style tofauti tofauti.
1.Wengine hawatafika kwa sababu ya kukosa nauli.
2.Wengine watapuuza kwenda kwa kuwa hawana uhakika wa kupata,na kuhofia hasara.
3.Wapo watakao kosa kufika kwa kuwa hawana taarifa kabisa.
4.Kuna wengine tayari wamepata kazi,hivyo hawatafika,kwa mf:mimi.
5.Kuna baadhi ya walioitwa,huenda ni wagonjwa kwa Sasa,na wengne pengine wameshafariki(msinielewe vibaya hapa)
Hivyo,tuwe na uhakika kwmba c chini ya watu elfu5 hawatafika(ni makadirio lakini)
Kwa uliye tayari kwenda,nakusihi usikose kufika,huwezi jua Mungu amekusdia nini kwako kupitia hili.
Ningekuwa nimeitwa hapo nisingetokea mazima
Nyanya, Mpekecho, Safuria, Kibakuli, Shoka na Sumu ya KUulia Panya.vitu vya kwenda navyo ni vp?
Nyanya, Mpekecho, Safuria, Kibakuli, Shoka na Sumu ya KUulia Panya.
Ndugu zangu, hali ya ajira nchini ni mbaya sana. Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za kazi 70 kwa wahitimu wenye shahada moja na kuendelea. Matokeo yake, baada ya mchujo wa majina zaidi ya 20,000; uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, umepitisha majina ya waombaji 10,800 ili washindanie hizo nafasi 70.
NB: List kamili HII HAPA