Nchi ilifika mahala RAIS ananunuliwa suti na waarabu koko wa mjini
lakini sishangai sana, JK na familia yake waliwekwa mikononi na waarabu koko wa Home Shopping Centre
Acaha ngosha atunyooshe tuuu
wanasema his chances are slim both sides of the Union. Lakini kama ana akili ajaribu kule visiwani and who knows he can repeat what mzee did kupiga kote kule na huku kwa machogo billy na pohamba wanaweza kuwa na detailed analysis ya jamaa maana mkimya sana na dingi inaonekana ni mzungumzaji...
Soma namba 8 hapo chini
Basically Bara tumezidi kuwanyonga kiuchumi hawa jamaa. Acha watuchukie tuuu
Wao wanasema wanataka tushirikiane kwenye mambo 2 tuu
1. Mambo ya Nje
2. Ulinzi
Sisi tunawabana na mambo 22
Kiasi Zanzibar ishindwe kukua kiuchumi. Maana kisiwa cha watu milioni moja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.