Recent content by callist

  1. callist

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Haya ni mwaka 2015, Je yametimia hayajatimia? Watu walishaiona hii.
  2. callist

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Mbona mnapenda kujisahaulisha kuwa JM alikuwa naibu tu kwenye hii wizara? kwa nini haya maswali hamjamuuliza Profesa Mbbarawa?
  3. callist

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Mbona mnapenda kujisahaulisha kuwa JM alikuwa naibu tu kwenye hii wizara? kwa nini haya maswali hamjamuuliza Profesa Mbbarawa?
  4. callist

    Mdahalo wa Watangaza nia CCM: Live on Azam TV

    Habari za ndani zinasema watia nia walipigwa mkwara dakika za mwisho kuwa uwepo wao kwenye mdahalo ungeweza kuwaharibia moja ya sifa za kufikiriwa kuwa wagombea wa CCM ndio maana wote wakaingia mitini.
  5. callist

    Serikali iwatupie jicho kali BASATA

    Mkuu hii inatosha kuufunga mjadala kabisa imejielezea vizuri. Bro @W.J Malecela kubali kuwa umekurupuka get your facts straight.
  6. callist

    Nauza simu..

    Nauza simu aina ya blackberry 9380..kwa shilling Za kitanzania 300,000/= Pia blackberry 9300 kwa shilling 200,000/= Pia htc wildfire mini kwa shilingi 200,000/=. Ukitaka kufanya usisite...
  7. callist

    niko dar,nahitaj laptop yoyote used kwa 235000

    Leta 260000 nikupe hp,nc6320 processor ni duo core 2.0ghz na ram ni gb1 na hard disk gb80.. Ni pm au piga number hii 0718882873
  8. callist

    msaada:App Error 552 on blackberry

    hiyo ki2 ni tatizo la kawaida me nshakutana nalo sana,ni hv ikikwambia app error it means kuna app kwa hyo ambayo imekuwa corrupted ambayo inapelekea kuharibu software ya hyo blackberry ni DM nikusaidie..
  9. callist

    Get Brand New External Hard Drives at Very Cheap Price!!!

    kaka naweza pata external webcam?? For my hp nc6320??
  10. callist

    Gari ToyoTa Opa..Inauzwa Ni Mpya Kabisa..

    tangazo Limewekwa Kwa anayehitaji,kama Hauitaji Just Shut up and Move..We Ulitaka Uambiwe Nini?? watanzania hatuendelei Kwa Kujitia Wajuaji Na Kumbe Ni Mabogaz..kwa Taarifa Yako Hyo Marketing Unayoizungumzia Watu Tumeisomea Thus y Tumeweka Tangazo fupi Ili anayehisi Anahitaji aweze Kupiga Na...
  11. callist

    Gari ToyoTa Opa..Inauzwa Ni Mpya Kabisa..

    Gari Inauzwa Opah,Ni Mpya Kabisa From Japan,uje Uangalie Gari Na Bei Upange Wewe,For More Info,And Car's Specifications Na Maelekezo Mengine Please Diall : +255717783919
  12. callist

    Lexus Alteza Inauzwa..

    Lexus Alteza Inauzwa Gari Ipo katika Hali Nzuri Sana,ipo Mjini dar Es Salaam,uje Uone Gari Na Bei Upange Wewe,for More Info and Specifications Diall : +255717783919
  13. callist

    CARINA MPYA inauzwa..

    gari Aina Ya Carina Inauzwa..Bei Maelewano..karibu Uone Gari Na Ujipangie Bei..For More Info And Car Specifications Please Diall or Txt : +255717783919
  14. callist

    Htc chacha - touch and type

    hzo htc Cha Cha Dukani Mpya Ni 400,000,pale SAPNA we Uje Huku eti bei ya Mwisho 400k,Kiukweli Humpati Mtu,..panga Bei Watu Wanajua Simu Wewe.. saq
  15. callist

    Used BB 9700 or 9300 inahitajika.

    Used BB 9700 or BB 9300 Inahitajika..Unapewa 120k,with N95 (Original) Hacked,You wont Get Certificate Errors when You download Apps.. njoo Tufanye Biashara Number Yangu Ya Simu Ni 0718-882873,call or Txt Utajibiwa.
Back
Top Bottom