Recent content by Calender

  1. Calender

    Watanzania wazuiwa kwenda Oman kufanya kazi

    ndiyo master mind !!!
  2. Calender

    Watanzania wazuiwa kwenda Oman kufanya kazi

    Huo ni usanii !! anajifanya home sick !! Watu wanmbembeleza kiasi hata kwao hataheshimika !!! ubalozi wa TZ una wafanyakaxi 30 hapo Oman jee mbona hawajaketa taarifa rasmi za unyanyasajiiiii....
  3. Calender

    Watanzania wazuiwa kwenda Oman kufanya kazi

    Nyie watoto wa vichaa mliozaoiwa makanisani na kuelekezwa acheni roho chafu!! kazi ina hadhi yake ni bora kuliko ukahaba na kujiuza!! waacheni watu wakafanye kazi wajipatie wakao cha kuanzia... mbona wapo wengi wamenunua mashamba na nyumba baada ya kurudi kutoka Uarabuni!???! Wengine machangu...
  4. Calender

    Umma unateketea... maUlamaa na maShekh na maImamu !!

    sawa mkuu... Lakini inaeleweka na ni wazi kabisa..... hawajibiki !!! na mwenye macho haambiwe tazama
  5. Calender

    Umma unateketea... maUlamaa na maShekh na maImamu !!

    Jamani wahusika na viongozi wa imani acheni kuvaa majubaa na majokho ya kujifaraguwa wakati wanajamii na raia wanadhihaikikwa na kurubuniwa kwa madawa ya ulevya bure
  6. Calender

    Umma unateketea... maUlamaa na maShekh na maImamu !!

    mpo wapi ?!?! mihadarati ina athiri jamii ....
  7. Calender

    Hodi

    Mlango umesindikwa tu... sukuma uingie... karibu sana!!
  8. Calender

    Msikiti utakaojengwa na mfalme wa Morocco utakuwa ni wa dhehebu gani?

    Hiyo yote ni Politics !! SIASA za nipe nikupe !!
  9. Calender

    Umejifunza mambo gani JamiiForums..?

    Hakika nimejifunza kuishi na mwafrika wa kabila mbalimbali... na zaidi kitaifa!!!
  10. Calender

    Ona new Airport ya kaNchi !!!

    Nchi inauza matikiti maji na matunda tu..... lakini wamejenga Airport ya kisasa!! Turkmenistan unveils bird-shaped airport in Ashgabat 17 September 2016 From the sectionAsia Image copyrightAFP Image captionThe new airport is five floors and was built at a cost of $2.3 bn Turkmenistan has...
  11. Calender

    Why is Eid al-Adha 2016 not on September 11? The Eid al-Adha is Islam's holiest festival celebrated

    bado utaisikia na itasikika .. na wataisikia vizuri ma kwa Sauti juu.... Eidd el hajj au Eidd kubwa ipo tangu enzi za Mabi Abrajam mtume Ibrahim AS
  12. Calender

    Why is Eid al-Adha 2016 not on September 11? The Eid al-Adha is Islam's holiest festival celebrated

    Ona sasa yameshaanza kulia lia Ovyo ovyooo shame on them!!!
  13. Calender

    Why is Eid al-Adha 2016 not on September 11? The Eid al-Adha is Islam's holiest festival celebrated

    ud ini gani wao wanvyoua na kuteketeza kwa F16 na B52 huku wakinyosha vidole ati yahoo Oyee hawa damnshit wataiLaaniwa na wataLaaniwa wote wenye kuwaunga mkono au kwasapoti!! kila mnane ana mbabe wake... Iddi mubataka tarehe 11 tunachinja nakutoa swadaqa ya nyama njoo ijia!!!!
  14. Calender

    Why is Eid al-Adha 2016 not on September 11? The Eid al-Adha is Islam's holiest festival celebrated

    wewe mwache mzee mtawala afanye kazi yake ana majukumu ya kuwanyanyua wanyonge na kuwaletea viwanda vipya!! hana time ya kusearch cyber google au umbeya wenu!! wee jenga taifa....
Back
Top Bottom