Umma unateketea... maUlamaa na maShekh na maImamu !!

Jamani wahusika na viongozi wa imani acheni kuvaa majubaa na majokho ya kujifaraguwa wakati wanajamii na raia wanadhihaikikwa na kurubuniwa kwa madawa ya ulevya bure
 
Yule shehe ubwabwa Alhadi kila siku yupo kwenye makongamano na warsha za madawa ya.kulevya,mrejesho wake sio kutoa nasaha kwa waumini,bali kumuombea Makonda
 
Unajua chanzo cha pesa ya ujenzi wa msikiti na ofisi ya Bakwata taifa kinachogharimu zaidi ya Billion 5 ?
 
Back
Top Bottom