Recent content by cairnegie

  1. cairnegie

    Huu ni utumwa wa kifikra .

    Huenda hawa walionzisha hizi siku za amani , sheria , familia , baba ,mama , mwanamke ,mtoto , wapendanao ... wanatuona mafala kwa vile tunavozishobokea hizo sikukuu . Sababu kuu ni kua maisha yao yako kinyume kabisa na hizo fikra , HUU NDIO NI UTUMWA WA KIFIKRA 😡 ! Hata ikianzishwa siku kuu ya...
  2. cairnegie

    Natafuta bunduki ya kulindia shamba

    Ndio hiyo ya halali nayokusudia awe na vibali vyote kisha tukakabidhiane polisi na utaratibu wa vibali nifatilie .
  3. cairnegie

    Matanga na siyo siku ya wanawake

    Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha. Mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 .
  4. cairnegie

    Kimeumana! Wanawake Wachachamaa - Malumbano Makali ya Hoja

    Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha ... mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 .
  5. cairnegie

    Lini tutaona mwisho wa kusherehekea uhuru ?

    Hii ni ndoto ya mchana , ila inawezekana , kwani hata hao watawala walivokua wanasherehekea utawala wao hawakuwa wakitegemea kama utafikia ukomo ... naomba niweke nukta .
  6. cairnegie

    Lini tutaona mwisho wa kusherehekea uhuru ?

    Hali ya maisha inazidi kua mbaya
  7. cairnegie

    Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

    Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
  8. cairnegie

    Kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika: Tumkumbuke Haruna Iddi Taratibu Muasisi wa TANU Dodoma 1955

    Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
  9. cairnegie

    Jumu la Picha za Wazalendo Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
  10. cairnegie

    Lini tutaona mwisho wa kusherehekea uhuru ?

    Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
  11. cairnegie

    Natafuta bunduki ya kulindia shamba

    Habari , napatikana Kisarawe Pwani , kama kichwa cha habari kinavojieleza , kwa aliekua na bunduki ya HALALI, tukutane inbox
  12. cairnegie

    Nchi yangu imekuwa ya Ajabu

    mmhp
Back
Top Bottom