Recent content by CAGvsSPEAKER

  1. CAGvsSPEAKER

    Manara (Msemaji wa Yanga SC) acha Unafiki na Kujifanya mwema, halafu nani Kakudanganya kuwa Adui yako mkubwa Dauda ndiyo Mightier wa JF?

    Sema na wewe jamaa unajipaisha tu,mbona nimesoma pote sijaona mahali amakuhisi wewe ndo Dauda!? Au unataka sisi tuhisi wewe ndo Dauda? Huwa unaokota vistori vyako huko,unatuletea hapa,huwa tunasoma tu kwakua hapa ni JF,ila usifike mahali unataka kujipaisha eti Manara anakuhisi wewe ndo Dauda...
  2. CAGvsSPEAKER

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Sasa huu upuuzi ndo wakumtoa Mbowe!! Mimi bado nasisitiza,msishadie mambo ya vituko tu yanapoletwa mitandaoni kuhusu hili sakata la Mbowe,anaweza pigwa mvua mkashangaa. Hao huwa wanaleta tu kile wanachokiona kihoja,but naamini kwenye mgongano wa hoja kwa hoja hamtaona wakipost.
  3. CAGvsSPEAKER

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Nina uhakika wa asilimia zote mia,aliyeandika haya maneno ni mwanamke mwenye hasira kali!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
  4. CAGvsSPEAKER

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Alikupiga msingi bomoa nini,aksepa!?[emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
  5. CAGvsSPEAKER

    Kwa hali hii mauaji ya hawa malaya hayatokwisha!

    Mkuu hapo ulikusudia milioni 2 au elfu 20!?[emoji848][emoji848][emoji848]
  6. CAGvsSPEAKER

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Dah!!!
  7. CAGvsSPEAKER

    Chiko Ushindi tumemuona ni mchezaji wa kawaida mno wakati tuliambiwa atasimamisha nchi

    Tumpe muda,na pia tuweke akiba ya maneno.
  8. CAGvsSPEAKER

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Suka alikia Mjaluo mmoja anaitwa Omera,mbwembwe elfu kumi!!
  9. CAGvsSPEAKER

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Dah!! Chama langu hili miaka ya nyuma,nimelipanda sana kwenda kwenye Debate Ashira girls,Mawenzi,Kibosho Girls,Kibo Hehe,dah,yaani maisha yalikua matamu kinyama.
  10. CAGvsSPEAKER

    Uliwahi kusikia nini kuhusu wawili hawa?

    Baba na Mwana.
  11. CAGvsSPEAKER

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kale kwa babaako. Mwanamke mzima huoni aibu kuomba kitu cha buku jero!?
  12. CAGvsSPEAKER

    Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

    Mzee nenda Manyara,ndo utakutana na Kisonono ushangae. Mpaka Mbwa,wana chao.
  13. CAGvsSPEAKER

    Baada ya Samia kutangaza kuja na Baraza jipya la Mawaziri, pichani nawaona hawa waking'olewa

    "Mhaga mpina" ndiyo nani Mkuu!? Au hizi siasa ndiyo unazianza leo!?
  14. CAGvsSPEAKER

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Badi umiliki uko kwangu kwa asilimia mia moja.
  15. CAGvsSPEAKER

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Nipi hiyo connection niipandie fasta.
Back
Top Bottom