Sio kwamba mnarudia baada ya wachezaji wa timu zote kupiga?
Napa ni tofauti kidogo. Timu moja wachezaji wote 9 wamepiga wakati timu nyingine Ina wachezaji wawili hawajapiga. Hii imekaaje?
Ikitokea Timu X na Timu Y zinacheza fainali ya maamuzi ya mpira wa miguu. Mpira ukachezwa kwa dakika 120 ngoma droo. Lakini Timu X iko pungufu baada ya wachezaji wake wawili kutolewa nje kwa kadi nyekunda ndani ya dakika 90 za mchezo.
Timu zimekwenda kwenye mikwaju ya penati na Timu zote...
Cheo ulichokitaja ni cheo cha ki-taasisi. Yeyote anaweza kuwekwa na aka fit. Kunda watu wa kada tofauti tofauti wanakuwa nyuma yake. Sio rahisi afanye uwazavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.