Recent content by Caesar14

  1. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Kazungula border post Zambia

    Nimepita hapo mara nne ni kweli unayosema hakuna tofauti sana na Tlokweng Border!!
  2. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe naye kama hajui kinachoendelea Yanga

    Una hoja tatizo unaowapelekea ujumbe ni watu wapumbavu sana sijui kwanini,watakushambulia subiri watakuja..
  3. Caesar14

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    04:17 wazee tukomae tunaimaliza guard soon!
  4. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Yanga naona safari hii wamejaza washambuliaji wengi kuliko wakabaji

    Umebadilika sana siku hizi unachambua soccer ndugu zako ukihoji jambo wanakushambulia badala ya kujibu kwa hoja!
  5. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Rais wa Urusi Vladmin Putin anavyomwangalia Tulia Akson unadhani anafikiria nini?

    Kuna namna anamuhurumia sana picha inajieleza wazi!
  6. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Hivi Mo dewji anamwaga mabilioni ya Usajili Kigwangala huwa anakuwa wapi?

    Mo kaamua kumwaga mpunga,ni kweli yupo sawa anatokaga na hoja sasa ajitokeze tajiri kachafukwa,
  7. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekosea muamala kutuma kutoka Bank, ukaja kwenye simu kama Muda wa maongezi

    qmmke 🤣🤣🤣 pole sana mkuu.
  8. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

    🚮
  9. Caesar14

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria kuu 5 kwa mwanaume

    Mkuu jamaa yupo sahihi amini labda kama hayajawahi kukukuta na wanaganda balaa hawakubali kuachwa kabisa..
  10. Caesar14

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria kuu 5 kwa mwanaume

    Wakuu mwamba kashatoa madini hiyo nambari moja acheni tu ni mateso makubwa..
  11. Caesar14

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kabati la nguo

    Yes,kama kweli hayupo katika kutupa wakati mgumu aweke nyingine..
  12. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Aiseee!!!! Dar kuna matapeli

    Hizi simulizi za kuibiwa,kutapeliwa kuna uzi wake humu utafuteni mvunjike mbavu.
  13. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Nitatoa pesa za usajili Kwa maslahi mapana ya timu

    Ngoja tuone hii vita itaishaje ila huyu mzee anachekesha sana..
  14. Caesar14

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kabati la nguo

    Mkuu una makusudi,haya wanakuja!!
  15. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Pesa X: Kampuni ya ukopeshaji mitandaoni inayolimbikizia watu madeni ya kubumba

    Usiwalipe hawatakufanya chochote ila uwe mvumilivu kwa zile siku za mwanzo simu zinapigwa mpaka saa nane usiku!
Back
Top Bottom