Tafadhal naomba nifaham mkataba wanaosainishwa wafanyakaz ktk hotel hio..
Ili iliwa kuna ukandamizaji wakuu wa hotel wawe na sehem ya kujibu ..
Kama itakua ni vipo vya utunzaji wa siri na kutotumika basi wahusika nao wawenalakujibu ..
Yote ytapatikana iwapo tukiwa na mktaba wanaoingia...
Ni
Kahoji wapi alichukua form ama kutangaza nia ykuawania urais ikiwa 2010 aliombwa agombee na haikua ridhaa yake...?
Tuache ushabiki wakisiasa na vyama slaa alichongea kipo na lazima ukubali kua huo ni mwanzo wa kutoa ya moyon ikiwa CDM watamchafua huyu mzee anamengi zaid wamewekana...
CCM ni chama mama kwake lowasa haikua raisi kwacho kumvua uanachama ikiwa akina sumaye na wengineo waliotajwa na Slaah...
Lazima uelewe kua Lowasa na wengineo walioingia ndani ya chama walipaswa kujisafisha kabla ili watanzia tuwe na imani nao...
Sisi ni vijana na niwatanzania ambao...
Swali zuri sana "kopo la chooni likikae sana chooni siku likisema limetaka kuja mezani kiwe kikombe cha chai itakuaje""?...
So unamaana Lowasa tayari alikua CCM ni nikopo la chooni leo kaja mezani inakuaje vile??..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.