tunavyofuata mambo bila ya kuangalia undani wake ndio maana tunashindwa hata kuwa na uwezo wa kimawazo,leo hii kikwete kujibu maswali mawili matatu kwenye tv,watu wasema ni historia,
kwanza jiulize,je kuongea kwenye tv na wannchi wawili watatu ndio njia bora ya kujua...