Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Rais anajua adha wanayopata watz ndio maana hana hamu ya kukutana nao uso kwa uso kwani anajua kinachoweza kutokea......alishapata experience mbeya pale msafara wake ulipopolewa mawe.Hawezi tena akawatuma mawaziri kufanya ziara kwani anajua jinsi walivyo zomewa na kukataliwa.Nchi yetu ni masikini sana.....inaniuma sana pale rais wa nchi masikini kama yetu mh.jk anasikiliza matatizo ya watz na kuyatolea majibu kwenye tv.Siamini kuwa rais anaweza kutatua matatizo ya watu wake kupitia kwenye tv.
''It's all about jk's popularity resume and nothing else''
''It's all about jk's popularity resume and nothing else''