Ofisi za Ardhi wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro, wameshindwa kusimamia vyema huduma ya kurasimisha viwanja.
Nilienda kwa ajili ya kuhitaji huduma hiyo mwaka 2023 mwezi wa 3 wakanielekeza niende kwenye ofisi nyingine ya watu binafsi ambao ofisi ya ardhi wao walidai hao ndio wanafanya...
Nmechaguliwa chuo cha tanga school of nursing leo nkacomfirm ila sas kupata joining instructions ndio nmeshindwa kma kuna mwenye ufahamu anisaidie
Shukran
Kumbukeni kuwaza what will happen na sio mshabikie tu wngne kam bendera upepo ukielekea kusin nayo mashark nayo
mtakuja kjutia baadae
just warning en ushaur
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.