Recent content by bysange

  1. bysange

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    Namba 1,2 na 3 daaaah zimemaliza sana shilingi zangu...namba 9 sikuwa wa kiivile sana ila mara moja moja sana
  2. bysange

    JamiiForums Tanzania Njombe: Amuua Mama yake mzazi na kisha Kumbaka

    Daaah vijana wanawehuka mapema sana,kuna aina fulani ya maisha huwa wanailazimisha halafu aina hiyo huwalazimisha wao iwafuate,mwisho wa siku wehu wanakuwa wengi mitaani na madhara kama haya kwa familia hujitokeza.
  3. bysange

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa Benki ya NMB Arusha, mbaroni kwa kulawiti mwanafunzi na kumweka kinyumba, alikuwa akilipa fadhila ya kumsomesha

    Hali si shwari kabisa,ni mwendo wa kupasuana na kutoana ngeu tu...Mungu atunusuru
  4. bysange

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

    Nimpe pole aliyepatwa na mkasa huu,iwe funzo pia kwetu kuwa hata kama hatutoi basi walau kwa mwezi uwe unaangalia kasalio ili kujiridhisha na 'wadukuaji' kama hao. NMB inabidi wawe wakali kwa wafanyakazi wao vinginevyo hii itawapunguzia kuaminiwa.
  5. bysange

    JamiiForums Tanzania Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

    Daaa msiba mzito sana huo,hizi safari za usiku tuwe nazo makini sana kwa kweli
  6. bysange

    JamiiForums Tanzania Shule ya Temeke secondary naomba Serikali imulike macho umalaya umezidi

    Tutafute hela tu hakuna jinsi
  7. bysange

    JamiiForums Tanzania Nitumie mabati gani kati ya Bomba na Dragon?

    Umemaliza utata mkuu,huko kwingine ni basi tu ni upungufu wa vitamini mifukoni
  8. bysange

    JamiiForums Tanzania Vipi mliochungulia salary ya July 2023, kuna nyongeza?

    Toshekeni na mishahara yenu
  9. bysange

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matatizo yanasumbua sana kwenye magari, Lakini ni madogo.

    Kuna jamaa yangu ana ist nilimuomba nienda sehumu fulani hivi Jumapili iliyopita kukiwasha nikaona steering ina vaibreti nikaenda nako kiugumu baada ya kilomita kadhaa kakawasha taa ya check injini kurudi pia ikawa hivyohivyo,nikamtonya akasema na mimi huwa inakuwa hivyohivyo kifupi nilimshauri...
  10. bysange

    JamiiForums Tanzania Kama unataka paa lako liwe imara tumia mbao za mlingoti

    Haswa haswa upate ule mlingoti unaoitwa gamzi daaa ni chuma balaaa
  11. bysange

    JamiiForums Tanzania Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

    Nakoleza wino kabisaaaa,kuna fundi nilitamani kama kupiga walahi tena daaa,makadirio tulifanya wote na sehemu nyingine nikashauri tuongeze kilichotokea mbele ya safari...Mungu anajua aiseee
  12. bysange

    JamiiForums Tanzania 90% ya nyumba za Dar miaka ya 2010 rudi nyuma ni hizi, ramani moja tu

    Kila zama na mfalme wake
  13. bysange

    JamiiForums Tanzania Lilongwe: Watanzania Washangilia Balozi wa Tanzania kuondolewa, yadaiwa alizorotesha Mahusiano ya Ubalozi na Watanzania wenzake

    Ngoja tuendelee kutega macho na masikio,mengi yataandikwa
  14. bysange

    JamiiForums Tanzania ALPHARD AU BREVIS MSAADA TAFADHALI.

    Cc2996 daaah hatari sana ukinogewa tu... Japo hapo mwishoni umenilima maksi😂😂 ila mwanga umenipa,be blessed
Back
Top Bottom