Recent content by Byendangwero

  1. B

    JamiiForums Tanzania Umma wa Watanzania watajiridhishaje kuwa kura za kupitisha rasimu hazikupikwa?

    Mimi binafsi baada ya kumsikiliza mwenyekiti akielezea mchakato mzima wa upigaji kura za kupitisha rasimu ya katiba utakavyoendeshwa nimeingiwa na wasi wasi mkubwa ya kwamba unatoa mwanya mkubwa wa kuchakachuliwa kwa matokeo ya zoezi hilo. Tuchukue madhalani upigaji wa kura za wazi; utaratibu ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tutake tusitake, kwenye suala hili JK amewazidi kete wana-ukawa.

    Kabla ya kuelezea hayo ninayotaka kueleza, sina budi awali ya yote niweke wazi maslahi binafsi niliyonayo katika suala zima ninalotaka kuelezea; ambalo ni mchakato wa utungaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maoni yangu,zoezi nzima kuanzia na uundwaji wa bunge la katiba...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa undumila kuwili huku taifa letu haliwezi kusonga mbele

    Kwa mtanzania yeyote makini, mjadala unao endelea sasa juu ya utungaji wa katiba mpya siyo tu kwamba unakatisha tamaa, bali pia unaonyesha ni kwa kiwango gani unafiki umekidhili hapa nchini. Nasema hivyo kutokana na ukweli kwamba wengi wa wanaoshinikiza pande mbili asimu katika mjadala huo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hili halisemwi na Ikulu

    Kwangu mimi sioni kama haya mabishano yenu yana maslahi yeyote kwa taifa letu. Hata hivyo ukweli unabakia pale pale kwamba uongozi wa sasa hauja onyesha umakini wa kutosha katika kushughulikia mianya ya rushwa; Kama itakavyokumbukwa katika hotuba yake ya kwanza kwenye bunge la Tanzania JK...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wengi Wanaopinga Uraia Pacha Hawana Sababu za Msingi Kuupinga Kwa Sababu Hizi

    Naona tatizo kubwa hapa ni "timing;" Kwa wengi wetu kuwepo kwa hizi tetesi ya kwamba baadhi ya watawara wetu wanahodhi fedha nyingi huko nje walizozipata visivyo halali kunatufanye tuamini ya kwamba huu mjadala wa uraia pacho unatokana na jitihada za mafisadi hao kutafuta njia ya kujihami ili...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sitta amefanikiwa kutuonyesha upande wa pili wa shilingi

    Wahenga walisema unaweza ukadanganya watu kwa wakati fulani,lakini siyo wakati wote. Hayo ndiyo yametokea kwa Sitta. Tangu uko nyuma wachache wetu tulimjua Sitta kuwa mbinafsi,mbabe, mpenda makuu, mbadhirifu, ndumira kuwili, na jambazi wa siasa; lakini ilibidi tunyamaze kimya tukiamini kadri...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dk.Slaa: Tulishinda urais mwaka 2010

    Anayoyasema Dr. Slaa uenda yakawa ya ukweli, lakini jambo ambalo limekuwa likinishangaza ni kwanini mpaka sasa Chadema haija iburuza tume hiyo mahakamani kutokana na wizi huo. Ni kweli, katiba ya sasa inatamka wazi ya kwamba tume ikishamtangaza yeyote kuwa ndiye mshidi wa kiti cha uraisi uamuzi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi kimezindua kampeni ya Rudisheni fedha zetu

    Wenzenu wamekwisha wawahi, polisi watatumia kisingizio cha kesi ya madai aliyofunguliwa Kafulila kuzima hiyo mikutano ya hadhara.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    Swali langu kwa huyo muhandishi ni nani huyo aliyefadhili hiyo safari yake ya ugunduzi na alikuwa na maslahi gani katika jambo hilo? Pili wakati alipokwenda kwenye safari yake hiyo, alifanya jitihada gani kuwasiliana na mke wa Ballali, mama Muganda, ambaye inasemekana bado anaishi huko Marekani...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kafulila kupandishwa kortini na IPTL itakayomdai bilioni 310/=

    Inavyoelekea kufunguliwa kwa kesi hii ni danganya toto,jambo hili baada ya kuwekwa adharani limewaumiza watu wengi na hivyo wanatafuta mbinu ya kuzuia lisiendelee kuzungumzwa kwa kisingizio cha kutoingilia madaraka ya mahakama.
  11. B

    JamiiForums Tanzania No request yet from Tanzania's Govt on ‘Swiss billions’

    This is a case of;"seting a thief to catch a thief." At times it works, but and a big but, it doesn't work all the time
  12. B

    JamiiForums Tanzania Suala la katiba mpya suruhu ni kuanza upya

    Kwa maoni yangu mchakato wa kupata katiba mpya ulikwenda tenge pale ambapo sheria iliyotungwa kusimamia mchakato huo ilipoteua wabunge wasasa na wajumbe wa baraza la wawakilishi kuwa wabunge wa katiba moja kwa moja. Uamuzi huo ulikuwa ni wa makosa kwasababu wabunge hao hawakuchanguliwa na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mnyika atumia bunge kuwajibu wajumbe wa baraza kuu

    Hachana na propaganda tuwekee maneno halisi aliyosema Mnyika. Nani asiyejua kwamba serikali ya CCM hivi sasa inahaha kunusuru bajeti ya kuwahudumia wakubwa kwenye matanuzi yao.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ujasusi kwa Balozi wa Uingereza Bungeni, Hakuja Majubu Rasmi Bali Sarakasi Zinaendelea!.

    watanzania tutakuwa hatujatendewa haki kama sakata alilolianzisha waziri Masele litamalizwa kwa mtindo wa; "funika kombe mwana haramu apite." Nasema hivyo kutokana na ukweli kwamba ndugu Masele kwa wadhifa wake alipashwa ajue kwamba,yeye siyo msemaji wa masuala yanayohusiana na uhusiano wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ikulu ya JK kuhusu Bomu la Zanzibar Ijumaa jioni

    Kama ni kweli hii ni taarifa rasmi na imetolewa na ikulu kwa niaba ya rais,basi rais wetu atakuwa ameonyesha upendeleo, maana kuna mikasa nyingi ya aina hii iliyotokea hapa nchini na rais hajawahi kutoa tamko kali kama hilo akikemea vitendo hivyo.
Back
Top Bottom