nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Nilisoma hiyo habari ya Abacha days back; sikufuatilia vizuri; ila nadhani Nigeria wamethubutu kwa kuwa Abacha kasha kufa...mtoto wake kama niko sahihi ana kesi ya kuujumu uchumi pia...
Lakini kuna mixed debate kuna wanaoona ni kumuonea kwa kuwa baba kafa; ile nchi nayo ni janga kwani kuna wale wanaotokea North (kwa Boko Haram) yani wao ni udini mwanzo mwisho na wanaendelea kumuona Abacha na ukoo wake ni hero
Sidhani kama hiyo move itafanikiwa ...udini na ukanda ukitawala...
Na hata ukijiuliza Nigeria imeongozwa na ma dikteta wangapi? Unataka sema ni Abacha peke yale aloiba? Wote walikuwa wezi na bado ni ma bilionea; ila Abacha kafa ndio maana wanathubutu kuchokonoa mali zake...kuna kina Babangida na ukoo wake ni matajiri hatareee
Afrika tumelaaniwa...sijuhi ni hii ngozi au...te te te

Nigeria asks U.S. to return $500 million Abacha loot to country
Nigeria to get back hundreds of millions of Abacha loot | Africa - News and Analysis
US freezes $458m hidden by former Nigerian leader Sani Abacha - Telegraph
BBC News | AFRICA | Britain goes after Abacha millions
Kwanini Serikali hii dhalimu haipeleki maombi Switzerland kufreeze hizo bank accounts ili hizo pesa zisiendelee kuchukuliwa?