Recent content by ByaseL

 1. B

  Je, Mhe. Zitto Akamatwe na Kushtakiwa Kwa Kuidhalilisha Taasisi ya Urais Kwa Kudai Fedha za Leo Sio Gawio ni Maduhuli?

  Kwenye political science kuna kitu kinaitwa "Constructive Ambiguity". Yes Rais anajua vizuri kwamba lile "gawio" pengine siyo dividend kama inavyotakiwa lakini kama mwanasiasa lazima atoe taswira chanya kwenye jamii. It is an income regardless of semantics! Kwa maneno mengine Rais yuko sawa na...
 2. B

  Lazaro Nyalandu, kinyongo cha Uwaziri kitakuponza

  Mkapa aliwaita watu kama huyu mtoa hoja wenye akiri uchwara!
 3. B

  Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

  Ni bahati mbaya wachangiaji wengi hawajui nani hasa mmiliki wa Mwananch na The Citizen. Kwa taarifa haya magazeti mmiliki wake mkuu ni The Aga Khan Foundation na baadhi ya Watanzania akiwamo Rostam Aziz. Kenya haina hisa zozote ila tu ni Makao makuu ya the Nation Group ambayo ni mali ya Aga Khan.
 4. B

  Barua ya TANESCO hii Hapa kwenda EWURA na Wizara ya Muhongo; Muhongo na Bosi Wako Muogopeni Mungu!

  Eng. Mramba aliomba nyongeza kwa EWURA akapewa. Kosa lake liko wapi? Pili hatua kama hizi zinafanya mamlaka kama EWURA, SUMATRA, TCCA etc kutokuwa na meno au umuhimu wowote. Kama ni hivyo basi kila kitu kirudi serikali kuu la sivyo zitabaki kuwa lame duck institutions!
 5. B

  Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

  Hivi serikali ya Uhuru Kenyata iliyotoa chakula na tents kwa wahanga Kagera ina shamba na kiwanda? Kuna jinsi ya kufikisha ujumbe kwa wananchi bila ya kuwakatisha tamaa. Tunapoenda misibani na kutoa pole ahimaanishi tunaenda kurudisha uhai wa mpenzi wao. Ni kuwafariji tu wafiwa. Kwa hili sioni...
 6. B

  Ukweli kuhusu fedha za Kagera

  Issue siyo kujenga au kutojenga miundo mbinu. Issue ni jinsi serikali ilivyojipatia pesa kwa kutumia maafa ya tetemeko hili. Kilio cha kuchangisha pesa ilikuwa ni kusaidia waathirika wa tetemeko. Nia ya wachangiaji ilikuwa ni kuwasaidia waathirika kwa kuwanunulia chakula na tents (sio kujenga...
 7. B

  Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

  Pamoja na kumuheshimu sana Prof. Lipumba kama mwalimu wangu kwa hili limenisikitisha sana na mbele ya macho yangu amepoteza heshima. Alilofanya wakati huo (2015) ni kama kumpa talaka mke wake akiwa labor ward na sasa mtoto anatambaa na hivyo sasa anataka kumrudia mke wake!! Hakuna watu wenye...
 8. B

  Kitwanga aponda ndege mpya za ATCL mwanzo mwisho

  Ni vizuri Kitwanga angeuliza wataalam wa mambo ya ndege akafundishwa. Kwanza Q400 ni ndege ya kisasa kabisa ambayo ni derivative ya Dash 300 ambayo inatumiwa na ATCL kwa sasa. Ni rahisi sana ku-google na kupata maelezo juu ya ndege hii bila mabishano mengi. Pili Q400 ina speed sawa na Jet...
 9. B

  Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni mali ya Mtei, kimejengwa kwa misingi ya unafiki na nidhamu ya woga

  Kama ni Josephine Mushumbusi kaandika haya kweli ni jambo la kusikitisha sana. Josephine hana moral authority ya kuandika haya. Yeye ni intrested party kwenye hatma ya Chadema namba moja kwa maana alitaka kuukwaa u-first lady lakini ukaota mbawa. Hivyo kwa akili ya kaiwaida hatutegemei aseme...
 10. B

  Tamko la UKAWA baada ya Naibu Spika kutangaza kukata posho

  Zitto kabwe hachukui posho na haijamzuia kufanya kazi za kibunge kwa uzalendo wa juu. Kama mbunge una msimamo thabiti huwezi kuuacha kwa sababu ya posho. Mshahara wa mbunge unatosha kumweka Dodoma bila athari zozote. Hakuna Mbunge anakaa guest kusema itamsumbua. Mageuzi katika mfumo wowote yana...
 11. B

  Museveni appoints wife Janet Education Minister

  Kampala. It is not the first time. It happened with his first cabinet when he appointed people such as Democratic Party’s Kawanga Ssemwogerere. In the Cabinet released yesterday evening, President Museveni appointed Uganda People’s Congress’ Beti Amongi and Uganda Federal Alliance’s Betty Kamya...
 12. B

  Lowassa apokwa mali zake, Ana hali mbaya sana ameuza nyumba Masaki

  Mwalimu Nyerere alisema hivi: Mtu akikwambia kitu cha kijinga huku akitambua kwamba anakwambia ujinga na wewe ukaukubali kuwa ni ukweli anakudharau sana. Kataeni kuambiwa na kukubali ujinga.
 13. B

  Makonda Aongoza Viongozi wa Serikali Kuhani Msiba wa W. Kabwe, atoa hotuba

  Hivi familia ya Kabwe inafurahia uwepo wa Makonda pale msibani au basi tu wafanyeje? Ki-Afrika RC angemtuma mtu mwingine. Kilichotokea Darajani Kigamboni kwa familia ya Kabwe hakiwezi saulika. Uwepo wa Makonda ni kuongeza uchungu kwa familia husio wa lazima. As a human being he should have been...
 14. B

  Museveni defends Shs5m gift to MPs

  PARLIAMENT-President Museveni has said he did nothing wrong by giving each NRM MP Shs5 million ahead of the voting for the Speaker and Deputy Speaker of Parliament. According to Mr Museveni, the money was not a bribe but he was only trying to “rescue” the National Resistance Movement (NRM)...
Top Bottom