Sijamjua.
Au ni RCO au DPP?
Sehemu ya pili ya hoja yangu ni kuwa he, hao watathibitishaje "beyond reasonable doubt" kuwa rahisi ametukanwa na kaathirika?
Supposing yeye angekuwa ameyachukulia kama mambo ya siasa tu?
My brother Mimi ni wanachama wa CCM ila hapa naongelea suala la kitaaluma sio...
Hii ya kumvua Uprofesa kwa kumtembelea Sugu ni ya kuanzia na kufungia mwaka!
Ulisikia pale Dr. Mwakyembe aliposomewa sehemu ya andiko lake la shahada ya uzamivu PhD alikosema serikali tatu ndio zinafaa halafu akawa anakataa mfumo huo wakati wa Bunge la Katiba?
Hicho ndio kinaweza kumuondolea...
Kuna mambo yanayotia shaka kwenye kesi za.namna hii. N.a. vema Mahakama ya juu ikayatolea msimamo.
1.Hakuna kesi ya jinai inayofanyika bila kuwepo mlalamikaji(aliyeathirika) ambaye huwa ni shahidi 1(PW1).
2.He mtu kusema maneno ambayo mtu mwingine hatari kuwasikia ni jinai?
3.Kwa kuwa ni lazima...
Nahisi kuna kitu maana hata arusi ilishadidiwa kupitiliza.
Nilimpenda mchambuzi aliyesema wanaomwambia Ali Kiba kuwa analingana/kumzidi Diamond walikuwa hawamwambii kweli!
Kwanza mleta mada amesema "Kwa muda wote", unadhani kwanza ametafiti kujua kuwa akina Abdulrahman Lukongo walikuwa wanachezaje!
Mtemi Ramadhani? Hamis Gagarino? Juma Mkambi? Charles Bornface? Athumani China? Khalid Abeid? Abdulrahman Juma?Hivi Sunday Manara alikuwa mshambuliaji au kiungo...
Eti!
Au Dodoma walipitia wakati wa kipindi cha mvua?
Ule ukavu na lifestyle ya wazungu haviendani.
Lushoto ndio kuna kila dalili za uwepo wa matamanio ya wajerumani. Kuna Ikulu,kuna Hoteli km(Lawns yenye 18 hole golf course na Magamba iliyoitwa Country Club huko nako walijenga shule kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.