Jamaa mmoja aliandoka jioni moja na kwenda ufukweni baada ya kufika ufukweni katulia akaja mzungu mmoja akamkuta katulia,mzungu kamuuliza jamaa are u rest?,jamaa kajibu no..mzungu kaondoka akaja mzungu mwingine akamkuta jamaa yupo pale yule mzungu akamwambia are u rest?,jamaa kajibu no.dah...