Recent content by Bwirege

  1. Bwirege

    JamiiForums Tanzania Hakika CHADEMA tumepitia mateso makuu mpaka sasa

    Kutoka Maktaba😅
  2. Bwirege

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Mmewafunga viongozi wao kisha mnataka washiriki sherehe za uhuru!! Kwa uhuru upi walio nao
  3. Bwirege

    JamiiForums Tanzania Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Uzi mchungu huu, yaaaaaani
  4. Bwirege

    JamiiForums Tanzania Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Miaka 13 iliyopita bado tuko palepale. Na hoja zenu zinanguvu sana sana. Hii ni aibu kubwa sana kwa watawala hasa CCM. #UziUrudiwe
  5. Bwirege

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😀Inabidi tukomae betting site zote hasa betpawa kuwe na option ya kudownlod mkeka wako kwa pdf file. Nawasiwasi hawa jamaa huwa wanabadilisha matokeo ya mikeka yetu kwenye site wakiona train yako inakaribia kushinda hasa Jackpot yenye pesa ndefu. Ushahidi utakua ni hiyo PDF ambayo ina details zote
  6. Bwirege

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa ameshindwa kumsaidia Rais?

    Huyo cheki bobu, uswahili mwingi
  7. Bwirege

    JamiiForums Tanzania Kumtesa mtu yuko uchi huku unamrekodi video ni unyama mkubwa

    Aise polisi ni wa kuwinda. Kwa hiyo hili taifa lina amani kwa watu kuteswa hivi.
  8. Bwirege

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichotokea UDSM leo wakati Rais wa Daruso anaenda kuapishwa

    Chuo kikuu cha Dar es salaam
Back
Top Bottom