Taja Sehemu ambazo watanzania tulishindwa kuzitamka kwa kizungu ambazo zimekuwa na majina hayi hadi leo

evonik

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
3,998
5,132
Heshima kwenu wakuu,

Kumekuwa na maeneo mengi hapa Tanzania yametokana kutokana na Waswahili kushindwa kuyatamka vizuri kutokana na lugha ya wageni.

Naanza na ndugu zetu wapenda ndigwa Kule Dodoma, kuna sehemu inaitwa vingh'awe mzungu alipaita "vine high way" kutokana na kuwepo njia panda yenye mzabibu, mgogo akina papoo wakashindwa kutamka hill neno wakasema vingh' awe hadi Leo panaitika hivo.

Ukija kwa ndugu zetu wasukuma wao wana sehemu yao inaitwa "kolomije" anayetokea naniliu, alikuepo mzungu anaitwa Jackson, wasukuma wakawa wanamuliza jina lake huyo mzungu, akwajibu "call me j"ndo hiyo sehemu ikaitwa hivo,

Zipo sehem nyingi sana na maeneo tz yana historia hii, tiririka nae utoe maana na Mkoa husika ili wasiofahamu wajue hilo jiina na maana yake.

Nawasilisha

Sent from Hot 9 pro+ max
 
Back
Top Bottom