Hili swala la ajira na waalimu linavyosemewa ni kama vile katuni ya tom na jerry,kwa sababu watakao cheka ni wengine na watakao lia ni wengine,kinachoumiza ni kuwa unasubiri kwa matumaini makubwa alafu mwisho wa siku jina halimo na hukuingia mkataba na ile shule waliokuwa wana kuhitaji sana,na...
naomba kuuliza,ukikaa na binti kwa muda gani anakuwa mkeo?kuishi pamoja kwa miaka 5 mnapika na kupakua kama mke na mume,hiyo c o familia kimila?anyway alishamshika ugoni mara kadhaa,na yakaisha kifamilia,mpaka mama mzazi alikuja kuweka mambo sawa.cha msingi vijana wa dotcom wajue ndoa c...
Ni wazi kuwa kuna mgogoro kati ya mkuu wa idara ndugu Waryoba na wana idara ya kilimo,watu hufungwa kwa matatizo ya kuchakachuliwa.Bahati ya waliokutwa na dhahama hiyo kesi imefutwa sawa lakini kuna bomu lingine linatengenezwa na huyu mkuu wa idara ambaye ni mtu wa ushirika.
Anadai kuwa kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.