Ni wazi kuwa kuna mgogoro kati ya mkuu wa idara ndugu Waryoba na wana idara ya kilimo,watu hufungwa kwa matatizo ya kuchakachuliwa.Bahati ya waliokutwa na dhahama hiyo kesi imefutwa sawa lakini kuna bomu lingine linatengenezwa na huyu mkuu wa idara ambaye ni mtu wa ushirika.
Anadai kuwa kilimo kila mtu ana kijua hivyo basi hutaka mambo yaende anavyotaka yeye.Kifupi ana tuburuza na hata akikaimisha ofisi bado huongoza kwa simu.
Mgogoro wa kwanza DED ulikufikia kupitia kwa DSO LAKINI SASA KUNA MWINGINE UNAKUJA KWA SABABU WATU WA KILIMO HATUTAKUBALI KUJIINGIZA MATATIZONI KWA KULINDA RUSHWA ALIYOCHUKUA KUTOKA KWA MAWAKALA WA PEMBEJEO.
SINA NIA MBAYA NAYE ILA NI KIMEO KIUTENDAJI.
NAWASILISHA.