Recent content by Bwin

  1. B

    Kwa Hotelia yeyote na anayependa kafanya kazi ya hotel porini!

    Kwanini watu wanaacha kila siku halafu unazidi kutukaribisha? Tatizo ni nini hasa? malipo au mazingira ya kazi? Nafasi zipi ambazo zinapatikana kwa sasa?
  2. B

    Natafuta kazi

    Wakuu sisi tusio na degree inakuwa shida sana kupata ajira. Mimi nina diploma ya utawala na pia ni certified hospitality supervisor. Nimefanya kazi kwenye hotel ya nyota nne kwa miaka saba kw upande wa rooms manangement and credit controlling na baadae nikahamia kwenye utawala na usimamizi wa...
  3. B

    Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

    Kiukweli yeyote atakayeweza kucompete na DSTV kwenye sports atakuwa ametuokoa sana sie tusio na vijisenti
  4. B

    Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

    Startimes yani hata bila ya huyo Bakhresa wenyewe wanajifia natural death.
  5. B

    Unafiki wa Sitta na Mwakyembe

    naona mleta mada kakumbwa na upepo wa blue monday
Back
Top Bottom