Jamani,
Rais Magufuli siyo mtaalamu wa Lugha, bali ni msomi, mwenye elimu ya Masuala ya Kemia. Kiingereza siyo Elimu. Ni Lugha tu. Wapo Waingereza wanakichapa vizuri Kiingereza, lakini hawana Elimu! Ni hakika Magufuli siyo mzungumzaji mzuri wa Kiingereza, wala Kiswahili! Hata Kisukuma chake...