Wakati wapinzani wanapingana kuhusu kiti cha mwenyekiti...

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,466
6,961
Wakati wapinzani wako busy wanapingana na kumalizana kwasababu ya "kiti cha mwenyekiti", wenzao CCM wako busy wanajenga mabarabara, wanajenga flyOvers, wanajenga madaraja juu ya bahari, wanahakikisha watoto/wanafunzi hawakai chini, wagonjwa hawalali chini, usafiri wa anga unaimarishwa, mahakama ya mafisadi inawezeshwa, viwanda vinajengwa, wakwepakodi wanalipa kodi, wahalifu wanadhibitiwa, mazingira yanaboreshwa kwa kupanda miti, reli mpya na za kisasa zinajengwa, makazi ya watu wa chini yanaboreshwa na mengineyo mengi.

Nashauri wapinzani warudi kwenye drawing board, wajipange upya. La sivyo, wapinzani wenyewe watarudisha nchi hii kwenye mfumo wa chama kimoja. Watch this space,
 
Wapinzani washapotea, ccm itatawala milele hakuna chama cha kuitoa ccm madarakani hapa Tanzania..
 
Wakati wapinzani wako busy wanapingana na kumalizana kwasababu ya "kiti cha mwenyekiti", wenzao CCM wako busy wanajenga mabarabara, wanajenga flyOvers, wanajenga madaraja juu ya bahari, wanahakikisha watoto/wanafunzi hawakai chini, wagonjwa hawalali chini, usafiri wa anga unaimarishwa, mahakama ya mafisadi inawezeshwa, viwanda vinajengwa, wakwepakodi wanalipa kodi, wahalifu wanadhibitiwa, mazingira yanaboreshwa kwa kupanda miti, reli mpya na za kisasa zinajengwa, makazi ya watu wa chini yanaboreshwa na mengineyo mengi.

Nashauri wapinzani warudi kwenye drawing board, wajipange upya. La sivyo, wapinzani wenyewe watarudisha nchi hii kwenye mfumo wa chama kimoja. Watch this space,
Oh, usipotoshe! Wanaojenga hiyo miundombinu siyo CCM, ni Serikali kwa kutumia Kodi za Wananchi na siyo Fedha za Ruzuku za CCM! Hata hiyo Ruzuku pia ni Kodi za watu! CCM, kama wangekuwa na Hela, wangewalipa kwanza Wafanyakazi wa Gazeti lake la UHURU wanaoteseka bila ya Mshahara kwa Miezi saba sasa! CCM ilimwaga Mabilioni kwa Wasanii, ili kulazimisha ushindi wakati wa Kampeni mwaka jana, na kuwalaza na Njaa UHURU na Radio Uhuru FM! CCM ilipata tu ridhaa ya kuunda Serikali, yanayofanyika ni nguvu ya Kodi inayolipw a na Kila mtu, siyo CCM!
 
CCM ilitegemea kufanya kazi gani wakati ikwa madarakani?
Hizo ndio kazi serikali ya ccm ilpasaswa kufanywa kwa wananchi wake,WAPINZANI watafanya kazi ya KUPIMA kiwango na ubora wa kazi mlio fanya kwa wananchi.

MAPUNGUFU yote mtakayo fanya ndani ya miaka mitano,TUTAYAWEKA hadharani kipindi cha uchaguzi.

Nyie endeleeni kujisifia,lakin mjue tutapita vijijini kuangalia mlicho wafanyia wananchi kama kina lingana na KODI ZAO MLIZO WATOZA.

KAZI YA UPINZANI NI KUBWA KULIKO MNAYO FANYA CCM,na ndio maana mnawaya waya kuzuia watu wasifanye siasa.
 
........wanahakikisha Bohari ya Dawa(MSD) haibakiwi na kopo 170 za Panadol
Wapinzani watajijuu
 
Wakati wapinzani wako busy wanapingana na kumalizana kwasababu ya "kiti cha mwenyekiti", wenzao CCM wako busy wanajenga mabarabara, wanajenga flyOvers, wanajenga madaraja juu ya bahari, wanahakikisha watoto/wanafunzi hawakai chini, wagonjwa hawalali chini, usafiri wa anga unaimarishwa, mahakama ya mafisadi inawezeshwa, viwanda vinajengwa, wakwepakodi wanalipa kodi, wahalifu wanadhibitiwa, mazingira yanaboreshwa kwa kupanda miti, reli mpya na za kisasa zinajengwa, makazi ya watu wa chini yanaboreshwa na mengineyo mengi.

Nashauri wapinzani warudi kwenye drawing board, wajipange upya. La sivyo, wapinzani wenyewe watarudisha nchi hii kwenye mfumo wa chama kimoja. Watch this space,
Wakati haya yakifanyika
1.Mahospitalini hakuna dawa wala chanjo
2.Wahitimu wa mwaka jana hawana ajira
3.Mkuu wa kaya anawaomba malaika wazime mitandao
4.Bei ya sukari iko juu tofauti na kabla ya tamko
5.Mkuu wa kaya analalamika pesa hakuna na kuwaomba matajiri wazirejeshe kwenye mzunguko.
6.hakuna vitabu vya passport nchini
7.Na mengineyo mengi sana.
Rais Magufuli.
 
CCM ilitegemea kufanya kazi gani wakati ikwa madarakani?
Hizo ndio kazi serikali ya ccm ilpasaswa kufanywa kwa wananchi wake,WAPINZANI watafanya kazi ya KUPIMA kiwango na ubora wa kazi mlio fanya kwa wananchi.

MAPUNGUFU yote mtakayo fanya ndani ya miaka mitano,TUTAYAWEKA hadharani kipindi cha uchaguzi.

Nyie endeleeni kujisifia,lakin mjue tutapita vijijini kuangalia mlicho wafanyia wananchi kama kina lingana na KODI ZAO MLIZO WATOZA.

KAZI YA UPINZANI NI KUBWA KULIKO MNAYO FANYA CCM,na ndio maana mnawaya waya kuzuia watu wasifanye siasa.
Kazi ya kufanya assessment ni ya wanachi/wapigakura...sio wapinzani...hivi unadhani kazi ya wabunge wa CHADEMA au CUF au ACT ni kusubiri mpaka 2020 na kukosoa madhaifu ya CCM? Endelea kufikiri hivyo
 
BASI TUSISIKIE CCM IKITAJWA KATIKA MAENDELEO YATAKAYO ONEKANA SAWAAAAAAA???????
 
Wakati wapinzani wako busy wanapingana na kumalizana kwasababu ya "kiti cha mwenyekiti", wenzao CCM wako busy wanajenga mabarabara, wanajenga flyOvers, wanajenga madaraja juu ya bahari, wanahakikisha watoto/wanafunzi hawakai chini, wagonjwa hawalali chini, usafiri wa anga unaimarishwa, mahakama ya mafisadi inawezeshwa, viwanda vinajengwa, wakwepakodi wanalipa kodi, wahalifu wanadhibitiwa, mazingira yanaboreshwa kwa kupanda miti, reli mpya na za kisasa zinajengwa, makazi ya watu wa chini yanaboreshwa na mengineyo mengi.

Nashauri wapinzani warudi kwenye drawing board, wajipange upya. La sivyo, wapinzani wenyewe watarudisha nchi hii kwenye mfumo wa chama kimoja. Watch this space,
sema; mpinzani lipumba yupo busy, kupigania matapishi yake ya uwenyekiti alio utapika huko cuf
 
CCM ilitegemea kufanya kazi gani wakati ikwa madarakani?
Hizo ndio kazi serikali ya ccm ilpasaswa kufanywa kwa wananchi wake,WAPINZANI watafanya kazi ya KUPIMA kiwango na ubora wa kazi mlio fanya kwa wananchi.

MAPUNGUFU yote mtakayo fanya ndani ya miaka mitano,TUTAYAWEKA hadharani kipindi cha uchaguzi.

Nyie endeleeni kujisifia,lakin mjue tutapita vijijini kuangalia mlicho wafanyia wananchi kama kina lingana na KODI ZAO MLIZO WATOZA.

KAZI YA UPINZANI NI KUBWA KULIKO MNAYO FANYA CCM,na ndio maana mnawaya waya kuzuia watu wasifanye siasa.
Msikalie hayo tu, upinzani mrudi majimboni mwenu kwenda kuhamasisha maendeleo kwakua msipofanya hivyo mtasahaulika kabla 2020.
 
Huu ni mwaka wa tatu sasa sisi wafanyakazi wa UHURU PUBLICATIONS hatujalipwa, viongozi wa chama wameuza mtambo wa kupigia chapa matokeo yake tunabeba soft copy kwenye Flash Disk na kwenda kuchapa gazeti pale JAMANA.
 
Oh, usipotoshe! Wanaojenga hiyo miundombinu siyo CCM, ni Serikali kwa kutumia Kodi za Wananchi na siyo Fedha za Ruzuku za CCM! Hata hiyo Ruzuku pia ni Kodi za watu! CCM, kama wangekuwa na Hela, wangewalipa kwanza Wafanyakazi wa Gazeti lake la UHURU wanaoteseka bila ya Mshahara kwa Miezi saba sasa! CCM ilimwaga Mabilioni kwa Wasanii, ili kulazimisha ushindi wakati wa Kampeni mwaka jana, na kuwalaza na Njaa UHURU na Radio Uhuru FM! CCM ilipata tu ridhaa ya kuunda Serikali, yanayofanyika ni nguvu ya Kodi inayolipw a na Kila mtu, siyo CCM!

unajua maana ya chama tawala na ilani ya chama..!

pia rais,mawaziri na wabunge ni wanasiasa na hao ndio wenye kusimamia na wana mamlaka kwa niaba ya wananchi...
 
Oh, usipotoshe! Wanaojenga hiyo miundombinu siyo CCM, ni Serikali kwa kutumia Kodi za Wananchi na siyo Fedha za Ruzuku za CCM! Hata hiyo Ruzuku pia ni Kodi za watu! CCM, kama wangekuwa na Hela, wangewalipa kwanza Wafanyakazi wa Gazeti lake la UHURU wanaoteseka bila ya Mshahara kwa Miezi saba sasa! CCM ilimwaga Mabilioni kwa Wasanii, ili kulazimisha ushindi wakati wa Kampeni mwaka jana, na kuwalaza na Njaa UHURU na Radio Uhuru FM! CCM ilipata tu ridhaa ya kuunda Serikali, yanayofanyika ni nguvu ya Kodi inayolipw a na Kila mtu, siyo CCM!
Oh, usipotoshe! Wanaojenga hiyo miundombinu siyo CCM, ni Serikali kwa kutumia Kodi za Wananchi na siyo Fedha za Ruzuku za CCM! Hata hiyo Ruzuku pia ni Kodi za watu! CCM, kama wangekuwa na Hela, wangewalipa kwanza Wafanyakazi wa Gazeti lake la UHURU wanaoteseka bila ya Mshahara kwa Miezi saba sasa! CCM ilimwaga Mabilioni kwa Wasanii, ili kulazimisha ushindi wakati wa Kampeni mwaka jana, na kuwalaza na Njaa UHURU na Radio Uhuru FM! CCM ilipata tu ridhaa ya kuunda Serikali, yanayofanyika ni nguvu ya Kodi inayolipw a na Kila mtu, siyo CCM!
Kweli mara hii jasho linawatoka kweli kweli, mmeshikwa pabaya
 
Oh, usipotoshe! Wanaojenga hiyo miundombinu siyo CCM, ni Serikali kwa kutumia Kodi za Wananchi na siyo Fedha za Ruzuku za CCM! Hata hiyo Ruzuku pia ni Kodi za watu! CCM, kama wangekuwa na Hela, wangewalipa kwanza Wafanyakazi wa Gazeti lake la UHURU wanaoteseka bila ya Mshahara kwa Miezi saba sasa! CCM ilimwaga Mabilioni kwa Wasanii, ili kulazimisha ushindi wakati wa Kampeni mwaka jana, na kuwalaza na Njaa UHURU na Radio Uhuru FM! CCM ilipata tu ridhaa ya kuunda Serikali, yanayofanyika ni nguvu ya Kodi inayolipw a na Kila mtu, siyo CCM!
Mwambie Mbowe alipe deni la pango kwanza
 
Wakati wapinzani wako busy wanapingana na kumalizana kwasababu ya "kiti cha mwenyekiti", wenzao CCM wako busy wanajenga mabarabara, wanajenga flyOvers, wanajenga madaraja juu ya bahari, wanahakikisha watoto/wanafunzi hawakai chini, wagonjwa hawalali chini, usafiri wa anga unaimarishwa, mahakama ya mafisadi inawezeshwa, viwanda vinajengwa, wakwepakodi wanalipa kodi, wahalifu wanadhibitiwa, mazingira yanaboreshwa kwa kupanda miti, reli mpya na za kisasa zinajengwa, makazi ya watu wa chini yanaboreshwa na mengineyo mengi.

Nashauri wapinzani warudi kwenye drawing board, wajipange upya. La sivyo, wapinzani wenyewe watarudisha nchi hii kwenye mfumo wa chama kimoja. Watch this space,
Acha waedelee na vioja, wachapa kazi wajenge Nchi.Ole wao waje na akili za Bomoa Mama tutajenga Kesho, wakati hawajui thamani ya ujenzi watakiona cha moto wao na wadhamini wao.Sometimes si lazima demokrasia ije kutokea Ulaya na Amerika bali waichote pia kutokea Afrika kwa Nchi kama Tanzania.Dk Magufuli endeleza kuwapa shule wanaojiita Baba wa Demokrasia, chapa kazi acha vijana wao wagombee UKUTA na uwenyekiti wa mbao za ofisi.
 
Back
Top Bottom