Mzee bei ipo chini hiyo yaani Ndogo. Mbegu za mlonge za kawaida tu mtaani zinauzwa kilo Sh.10,000/= bila mashart yoyote na Rangi mchanganyiko. Sasa unataka Rangi nyeusi tu halafu bei mbuzi. Panda dau watu wakuleteee mzigo
Mafiastar stationery iliyopo Magomeni Mapipa Dar es salaam inatangaza nafasi 1 ya kazi za secretariet kwenye stationery hiyo.
Sifa za muombaji:
1.ELimu awe amehitimu kidato cha nne.
2. Awe Ana certificate ya secretariet/computer
3.Awe na speed kiasi au kubwa ya kutyping
4.Awe anaishi...
Nashukuru kwa walioenda hadi kiwandani kujionea wenyewe hali halisi, Ibravo na Larusai nawapongeza sana kwa kutoa ushuhuda wenu muliouona kiwandani. Mimi nilioleta uzi huu nimechukizwa sana na wana jf kwa kunita tapel baadhi yao Lusungo, Mtz Huru na Matendo Andre nataka mnambie utapeli wangu...
Nimeshamueleza swala hilo la email haziendi kasema wanazishughurikia na anasema email ya pili ambayo ni tony-chen@qq.com zinaenda, lakini sijajalibu. Pia hezo nafasi za technician 20 ni kwa mtu wowote aliyesoma fani yoyote ya techician wanamuhitaji watamfundisha kutumia mitambo yao na mashine...
Hawajawahi hata malamoja kutangaza nafasi za kazi kwenye nipashe hii mara ya kwanza usiwe mnafiki, waliwahi kutangaza kwenye CITIZEN mara moja tu walipoanzisha kiwanda,
Ww unaojita mtanzania huru naomba nitafute number zangu si nimetoa hapo. Acha kuropoka. Nunua gazeti la nipashe la leo tar 9/9/2014 then kawaulize nipashe kwamba nyinyi matapeli?
Nakuomba nunua gazeti la leo nipashe ukurasa wa 2 soma tangazo leo wamelitoa kwenye hilo gazeti usiropoke kwakua sim haipokelewi ipo bize. Au fika kiwandani huko vikindu ukaone mwenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.