Nafasi za kazi kiwandani

Nafasi za kazi kiwandani

L LNFUTURE BUILDING MATERIALS CO.LTD ILIYOPO WILAYANI MKULANGA KIJIJI CHA KISEMVULE UKIPANDA GALI UKIWA LANGI 3 UNASHUKA KISEMVULE UNACHUKUWA BODA BODA UNAMWAMBIA AKUPELEKE GETI JEUSInfuture_aluminum@163.com au Tony-chen@qq.com, hiki kiwanda cha wachina kinashughurika na shughuri za kuzalisha aluminum huko vikindu mkuranga, huyo manager leo ameshindwa kupokea sim yupo bize sana lakini kesho atapokea.
 
Kuwa na uhakika na maneno yako hayo. Usione tangazo limeandikwa laff ukafikili matapeli fatilia kwanza then useme. Fatilia hiyo hebu nenda hapo kiwandani then uje ulete jibu hapa, mie hilo tangazo nimetumiwa na maneger wao ni rafiki yangu. Mie sifanyi kazi hapo. Ngoja nataka nimuulize hizo nafasi 20 asipecify vizuri.
 
Cku chache zlzopta aliweka tangazo la kaz ya stationery .aliwaambia watume cv .zao kumbuka ucpo lizwa leo utalizwa tu hata mwakan kwa mtndo huu wakukutumatuma cv ovyo.km kuna mtu aliaply akaitwa magome kwenye intrvw ya kaz ya sttionry aje atoe ushuhuda wake plz
 
Ww unaojita mtz huru, mie nakupa number yangu hii naomba nipigie 0713563101 nataka uje mageni mapipa uhakikishe bint niliyomuajiri kwenye statuonary yangu magomeni mapipa kwa macho yako, niliita watu 5 na waliokuja kwenye interview ni 3, mmoja aliyepata alama za kuridhisha ndo nimememchukua na ameshaanza kazi. Usiongee vitu vya uongo usivyovijua, pia ukija nitakupeleka hadi vikindu kwenye hicho kiwanda cha wachina waliotoa nafasi hizi, mie sifanyi kazi huko ispokua rafiki yangu mwaka 2012 tumemaliza chuo wote pale IFM ndo maneger huko vikindu kwenye hicho kiwanda cha wachina. Wacha kuropoka bila kufatilia. Naomba nitafute. Hili tangazo niliambiwa nisiliedit niliweke hivyo hivyo ili wanaohitaji kazi sio kuongea tu kama ww waende. Usiropoke ropoke tu mwizi nikuambie lazma mwisho wa siku lazma akuombe hela, sasa uliza waliokuja kwenye interview waliomwa hela? Utapata jibu. Halafu kitu chengine nikwambie cv sio siri katika kutafuta kazi.
 
Ukisha ijua mbinu ya mbaya wako sio rahisi kukuangamiza ni kweki kuna matapeli lakini sijaona sababu ya kuamini kila tangazo ni la matapeli kwani CV. ukituma unaibiwaje?
Mimi siogopi matapeli coz me co mburu.......
 
Sikio la kufa halisikii dawa.
Watanzania tubasilike. Unaona tangazo la kazi unaanza ohh utapeli ohh utapeli. Wewe unaesema hivyo umetapeliwa lini kwenye hiyo kazi??? Tusipotumia akili hii nchi italiwa yote na wageni itaisha na tutakapokuja kufungua macho hatutabulia kitu.
Binafsi sijui kuhusu hiyo kazi lakini nilivyoona tu hizo Emails hapo nimejua na watu kutoka China maana ndiyo Emails zao nyingi ziko hivyo(Nazijua vyema). Lakini hapa mtu hata hajafatilia kufanya application keshaanza kulalama utapeli.
Sikatai matapeli wapo wengi lakini usiwe mropolaji hata pale ambapo hujui unaanza kuona matapeli. TUBADILIKE SASA.
 
Vijana watanzania tubadilike, sio kila tangazo ni mataperi, taperi huwa lazma anahitaji pesa. Mie nataka mtu wowote anitafute nimpeleke hadi huko kiwandani vikindu kisenvule nimetoa number ya sim hapo mtu anitafute. Ok mie naelewa hili ndo jukumu letu kuelimisha jamii. Mie siogopi kutuma cv kwenye kazi yoyote nayohitaji na mtu hawezi niibia hata siku moja.
 
Bwasheh hao jamaa wana ofisi maeneo ya ocean road?
 
Vijana watanzania tubadilike, sio kila tangazo ni mataperi, taperi huwa lazma anahitaji pesa. Mie nataka mtu wowote anitafute nimpeleke hadi huko kiwandani vikindu kisenvule nimetoa number ya sim hapo mtu anitafute. Ok mie naelewa hili ndo jukumu letu kuelimisha jamii. Mie siogopi kutuma cv kwenye kazi yoyote nayohitaji na mtu hawezi niibia hata siku moja.

Acheni utapeli
 
Ww unaojita mtz huru, mie nakupa number yangu hii naomba nipigie 0713563101 nataka uje mageni mapipa uhakikishe bint niliyomuajiri kwenye statuonary yangu magomeni mapipa kwa macho yako, niliita watu 5 na waliokuja kwenye interview ni 3, mmoja aliyepata alama za kuridhisha ndo nimememchukua na ameshaanza kazi. Usiongee vitu vya uongo usivyovijua, pia ukija nitakupeleka hadi vikindu kwenye hicho kiwanda cha wachina waliotoa nafasi hizi, mie sifanyi kazi huko ispokua rafiki yangu mwaka 2012 tumemaliza chuo wote pale IFM ndo maneger huko vikindu kwenye hicho kiwanda cha wachina. Wacha kuropoka bila kufatilia. Naomba nitafute. Hili tangazo niliambiwa nisiliedit niliweke hivyo hivyo ili wanaohitaji kazi sio kuongea tu kama ww waende. Usiropoke ropoke tu mwizi nikuambie lazma mwisho wa siku lazma akuombe hela, sasa uliza waliokuja kwenye interview waliomwa hela? Utapata jibu. Halafu kitu chengine nikwambie cv sio siri katika kutafuta kazi.

Tapeli mkubwa wewe
 
Kama co utapel nin mbona hampokei simu zenu? .au ndo mpo busy? Hahahaha
 
Kama co utapel nin mbona hampokei simu zenu? .au ndo mpo busy? Hahahaha.ngashtuka nga machale kumndesa
 
Gazeti la leo tar 9/9/2014 NIPASHE wamezitangaza hizo nafasi angalieni! Kama na nipashe wezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom