Nafasi za kazi kiwandani

Nafasi za kazi kiwandani

Acheni utapeli

Nakuomba nunua gazeti la leo nipashe ukurasa wa 2 soma tangazo leo wamelitoa kwenye hilo gazeti usiropoke kwakua sim haipokelewi ipo bize. Au fika kiwandani huko vikindu ukaone mwenyewe
 
Kama co utapel nin mbona hampokei simu zenu? .au ndo mpo busy? Hahahaha

Ww unaojita mtanzania huru naomba nitafute number zangu si nimetoa hapo. Acha kuropoka. Nunua gazeti la nipashe la leo tar 9/9/2014 then kawaulize nipashe kwamba nyinyi matapeli?
 
vikindu1.jpg vikindu1.jpg
 
Ila kiukweli wanaohitaji wasiogope kuomba ila chondechonde msijaribu kuombwa hela plz plz plz plz plz
 
je ww uliibiwa na hao jamaa au uliomwa hela?

Hata hao waandishi vilaza email address gani inaandikwa kwa herufi kubwa?

Hivi kutoa tangazo nipashe unaona ni issue? Pole Sana

Utapeli mtupu!!
 
Nimewahi kuwapigia nipashe cm kuwauliza ni vigezo gani ambavyo huwa wanavizingatia kabla ya kuweka tangazo? Hahahaha nilicheka saana kuona jamaa ananijibu hela yako tuu ukilipia unatangaziwa hata kama unaenda kuwanyonga wao haiwahusu kama huamini hilo gazeti lina namba za wahariri waandishi n.k waulize...OVER
 
Na email zao sijui vipi yaan hata ukituma. Inafail tu yan had naona aibu mana tang juzi kuna mtu nmemwambia atume kila akituma inagoma yan had naonekana mzushi nikampm huyo mtoa mada anaedai meneja. Wa hapo n rafk ake kumuuliza mbna haisom email?nae yuko kimya yan vikampn vngne vya uchochoron hvi khaaa tabu tup!kkweli jf inaingiliwa sa hvi
 
Najaribu kuwaza...

Hii ni njaa au makusudi?
 
Na email zao sijui vipi yaan hata ukituma. Inafail tu yan had naona aibu mana tang juzi kuna mtu nmemwambia atume kila akituma inagoma yan had naonekana mzushi nikampm huyo mtoa mada anaedai meneja. Wa hapo n rafk ake kumuuliza mbna haisom email?nae yuko kimya yan vikampn vngne vya uchochoron hvi khaaa tabu tup!kkweli jf inaingiliwa sa hvi
Nimeshamueleza swala hilo la email haziendi kasema wanazishughurikia na anasema email ya pili ambayo ni tony-chen@qq.com zinaenda, lakini sijajalibu. Pia hezo nafasi za technician 20 ni kwa mtu wowote aliyesoma fani yoyote ya techician wanamuhitaji watamfundisha kutumia mitambo yao na mashine zao cha msingi kwamba awe ameshapitia mambo ya techician yoyote. Mwisho nasema mtu kama anaona utapeli asiende wala asitume cv. Mie sitajibu tena sms silipwi na hiyo kampuni. Nilileta uzi hapa basi mtu anayetaka afatilie mwenyewe.
 
Haahaah watu wana vituko sana!!
Ishu iko hv mm ckujipa tab ya kutuma maombi via email bal niliamua kwenda moja kwa moja had hap kiwandan coz si mgen san wa maeneo ya Kisemvule na niliwasilian na huyo Bwashekh na akanielekeza kiwand kilip na nkafka.Kaz zip & malalamik yote mnayotoa ni kwel email ilikuwa inasumbua ila kuna email nyingine inafanya kaz,cm zinapokelew & ukiona haipokelew ujue manager anaongea na mgen & hat nlipofk nililiona hilo coz hakuw anapokea cm zaid ya kuongea nam & akanielez situation nzima hata malalamiko mnayotoa wadau wa hum.Ushaur wang tuache kulalam kuhus utapel unapotangaziw kaz,1st hujaambiw utoe pes wa uwek bond mal zak,kam kwel unahitaj kaz na unahof ya kutum nyarak zak ni vyem kwanz ukafany utafit wa mahal ilip kaz kwan hat Bwashekh ametoa maelekez ya kutosha kukuwezesh kufik hapo kiwandan.Kiwand ni kipya,malipo n hiar yak utaangalia kama itakidh hal yak kama la utasepa kwingneko.
Angalizo:Ile ni Manufacturing Industry.
 
Wakuu hii kampuni ni ya kweli,,ofic ziko posta residency palm house ocean road,kiwanda chao kiko mkuranga pwan!..,,
Ila wanazingua kwa sababu,,
nliitwa kwa interview as workshop monitor,tulikua km 6 hivi nikafanikiwa kupita na wakasema nianze km kibarua ili kujua shuhuli zao.
Sasa pay yao sasa ni 5000 au 7000 kwa siku kulingana na kitengo,,wakifanya kaz nusu cku unalipwa 3000, nmefanya wiki nimeaachana nao coz mi naish dsm had kufika mkuranga na lunch naspend 4000!..hawana guarantee kuwa unakuwa kibarua hadi lin,,nlikua naona watu wanakuja kufanya intervew wakiwa na tai zao ilihali mi najua shuhuli za kule ni za ajabu,,wale jamaa wamenikera sana,
kuna meneja mbongo anaitwa gabriel na mchina tony,,yaan huyo mbongo hatetei wabongo kashakua km mtumwa!.wote waliopata kaz kule washaacha na kila cku wanapigia watu cm waende kwa interview ,,hata vibarua wa pale wamekata tamaa,,,watu wanaenda na digrii zao ila wanataka wawape kazi za drs la 7 na pesa mbuzi!..wamenikera sana coz walitangaza officially sanaa,,
hii ni kati ya changamoto kubwa kukutana nayo kwenye harakati za mtaa as a jobseeker.Kwa sasa niko mtaani natafuta ajira ambayo angalao itanisaidia kujikimu.,mi ni graduate ila naamini cku moja ntatoka tuu,,kitu gani banaa,,,hakuna kurudi nyuma mapambano yanaendelea.Km yupo aliewahi kufika kule mimi ni yule tall mwenye timba iv,,
VIJANA JAPOKUWA HATUNA AJIRA TUSIKUBALI KUWA CHEAP KIASI HIKI.
 
Haahaah watu wana vituko sana!!
Ishu iko hv mm ckujipa tab ya kutuma maombi via email bal niliamua kwenda moja kwa moja had hap kiwandan coz si mgen san wa maeneo ya Kisemvule na niliwasilian na huyo Bwashekh na akanielekeza kiwand kilip na nkafka.Kaz zip & malalamik yote mnayotoa ni kwel email ilikuwa inasumbua ila kuna email nyingine inafanya kaz,cm zinapokelew & ukiona haipokelew ujue manager anaongea na mgen & hat nlipofk nililiona hilo coz hakuw anapokea cm zaid ya kuongea nam & akanielez situation nzima hata malalamiko mnayotoa wadau wa hum.Ushaur wang tuache kulalam kuhus utapel unapotangaziw kaz,1st hujaambiw utoe pes wa uwek bond mal zak,kam kwel unahitaj kaz na unahof ya kutum nyarak zak ni vyem kwanz ukafany utafit wa mahal ilip kaz kwan hat Bwashekh ametoa maelekez ya kutosha kukuwezesh kufik hapo kiwandan.Kiwand ni kipya,malipo n hiar yak utaangalia kama itakidh hal yak kama la utasepa kwingneko.
Angalizo:Ile ni Manufacturing Industry.
Sio tatizo kijana,,tatizo ni pale unapomwita mtu kwa heshima na interview kubwa kumbe kazi zenyewe sio official,,ita vibarua ili mtu akija ajue,,sio kupotezeana muda.
Japo hatuna kazi,,si lazima kuteseka,kisemvule ni mbali ,unaspend 4000 unaingiza 5000 au 3000 cku kiwanda kikifanya kaz nusu siku!.. What a hell iz this!..
Wabongo japo ardhi ni yetu ila tunateseka sana,,,kuna stori kule viwandan somtym wachina wanapigaga wabongo makofi km watoto,kuna mwingine aliwah kutishiwa na bastola kabisa!..hizi sheria za kaz ziangaliwe upya na kufuatiliwa ana kwa ana,,,jaman wafanyakaz wa viwandan wanateseka,,mishahara mbuz,kaz ngum,vifaa vya kujikinga km masks,gloves,nk hamna!...nmeonaaaaa mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom