Recent content by bwasa kwetu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kikao cha UKAWA na CCM chavunjika jioni ya leo, hakuna muafaka

    mungu yuko upande wa wananchi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sometimes namuonea huruma sana Zitto Kabwe

    huyo kijana tamaa zilimponza ngoja ajute ila namtabiri ataibukia NCCR uchaguzi ujao tofauti na hapo hana ujanja
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hofu yasitisha uchaguzi wa CHADEMA mkoa wa Geita, Mawazo anahusika

    Waacheni wanachadema wachague viongozi wao huko waliko msiwaingilie na mkaleta makundi ndani ya chama hata ccm walianza hivyohivyo kutoaminiana leo makundi yanawatafuna. Kama kiongozi aliyepo anahofia mwanachama wakati huu wa uchaguzi basi kiongozi huyo hajiamini alikua wapi kabla ya uchaguzi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Namwonea huruma sana Mwigulu na CCM kwa kutumia nguvu nyingi akili kidogo

    =Wile GAMBA;Na hao wanaosombwa pia wanamatatizo sisiemu wanatumia umasikini wetu kututawala
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    tuko pamoja makamanda
  6. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kikao cha Kamati Kuu CHADEMA sasa Mbezi Garden Hotel

    safi sana ukawa tunataka yajadiliwe maoni ya watanzania sio maoni ya hao wehu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kafulila kupandishwa kortini na IPTL itakayomdai bilioni 310/=

    hao makigorogoro wanataka habari ya escrow isizungumzwe tena kwa madai kuwa kesi iko mahakamani.
  8. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamefanya uchaguzi bila hata punje ya RUSHWA, je CCM kwanini tushindwa kuwa hivi?

    mamtu ya ccm pamoja na mabalozi yao bila kuhongwa hayapigi kura yalishazoeshwa hivyo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

    mwakani anapumzika ss lazima aanze kuzoea maisha ya mtaani mda mwingine kwenda sokoni na mama watoto.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna Vijana Watanzania bado wanataka CCM iendelee kushika dola 2015?

    vijana waliobaki wanaichagua ccm ni wale mambulula wanaokula kwa shemeji zao mwenye timamu hawezi kuangaika na ccm
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Bundi wa mgogoro atua chama cha ACT-Tanzania, sasa wawa vipande vipande

    muongo kama ni kwaeli angeshawaita wandishi wa habari,pesa alishalipwa zote na akiita waandishi wa habari ushahidi wa kulipwa utatolewa hazarani
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msingwa aibua ufisadi maliasili

    wasubiri tu hukumu ya mungu mwaka ujao hata hao wanyama wanaopigwa risasi hovyo wana mungu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli - apata dawa ya msongamano wa jiji la Mwanza

    kubeba magari matano tu yanapunguza msongamano,huu ni uhuni bora hicho kivuko apeleke kisorya to ukerewe kiwe kinapishana na kilichopo akuna mtu atatoka luchelele hadi kirumba kwa ferry na hiyo fery itakuwa na vituo vingapi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sumaye atangaza nia, Lowassa, Wassira Wahofia Onyo la Kamati Kuu...

    wasira ndo atakua rais na picha yake itabandikwa kwa noti zetu na sarafu zetu Tanzania na ss wana bunda tunakua na rais
  15. B

    JamiiForums Tanzania Yona Patrick njia panda kati ya ACT-Tanzania na CCMK NJIA PANDA ACT, CCM!

    Hatutaki wehu chadema
Back
Top Bottom