Recent content by BWANANDUGU

  1. B

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa ndiye Mgombea kwa Tiketi ya Chama

    Rais:JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI,na Makamu wa Rais ni SAMIA SULUHU.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli awatumia Wahandisi wa Serikali kumtafutia wadhamini wa urais CCM

    Kwakua ulipotoka napajua,una haki ya kuleta utumbo wako hapa. Mkifungua shule uje uchukue kalamu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Aibu: CCM wawakataza watangaza nia kufanya midahalo popote pale nchini

    Na atapitikana hukohuko CCM. Ni suala la muda tu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Ukweli ni kwamba jukwaa hili sasa linapoteza muelekeo. Jana Lowasa alikuwa uwanjani,na alikaa nyuma ya Mwamunyange......hiyo picha uliyoiita feki ndio orijino sasa. Lakini pia,tuache ushabiki wa kitoto,hivi nani kasema Rais atachaguliwa kwakukimbia au kusimama karibu na rais anayemaliza muda...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Khamis Sadifa Juma: Mwenyekiti UVCCM TUJULISHANE WASIFU WAKE

    Naomba kujua alipo huyu mtu kwani toka achaguliwe sijasikia alichokifanya. Amewaacha vijana wa CCM kama yatima wasijue pakwenda.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: Tumaini Jipya la CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro linalopotea

    We Ben mwenzi Simiyu yenu....jaribuni kushindana kwa hoja. Hii tabia mnaanza vizuri then baada ya muda mnaanza matusi sio nzuri.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tabia hii itakoma lini?

    Huo ni usajuli wa kawaida tu......
  8. B

    JamiiForums Tanzania CCM mtupatie majibu mapema na yenye kukidhi haja

    Jamaa maswali yako ni rojo sana. Chama chochote kinachoamini katika Demokrasia,lazima kiwe na utaratibu sahihi wa kuwapata au kumpata mtu atakayekiongoza kusaka nafasi ya kuliongoza Taifa. CCM kama tahasisi hakiongozwi kwa mihemko,ama kwakukaa baa na kuombana kugombea. Hivyo sio ajabu watu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Waenndeleze hii sinema mpaka mwisho....isiishie njiani
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wakati muafaka kwa UKAWA kuchukua dola 2015 au kujiimarisha kwenye ubunge?

    UKAWA sio chama cha siasa,nje ya kudai katiba hakuna UKAWA,kuna CHADEMA,CUF na NCCR. Kikubwa ni kuvishauri vyama hivi jinsi ya kuanza siasa za nje ya UKAWA.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba Mpya haitaitoa CCM ni kazi bure(No Value for Money)

    Hapa mkuu hujatumia akili kabisa. Juwa kuwa CCM haipo madarakani kwa mawazo ya mtu,ipo kwa wingi wa kura. WanaCCM na wananchi ndio watakao iweka ama kuiondoa CCM madarakani. Kuna mahali wengi mnashindwa kuelewa,ili chama kingine kishike hatamu,ni lazima kichaguliwe pia na wanaCCM kitu ambacho ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono JK,yuko sahihi 100%.

    Kwanza tujiulize tofauti iliyopo kati ya uoga na unyonge. Rais angewaambia wana CCM waache uoga,hata mm ningepata wasiwasi,ila unyonge,sioni jambo la kutisha hapo. Mtu mnyonge huwa ana kiu ya haki,muoga ana kiu ya damu. Mnyonge halipi kisasi unyonge ukimuisha bali hufurahi kuipata haki...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Mpaka sasa, Tanzania kuna Ndovu 13,084 tu wakati mwaka 1976 walikuwa 109,419

    Salama sana wana JF?. Nianze kwa kukiri kuwa nchi yetu ipo hapa ilipo kwa sababu tumependa iwe hapa. Nimemsikia Rais wangu,mtanzania mwenzangu,akilalamika kuhusu mambo mengi. Hivi karibuni nimemsikia akilalama juu ya ujangili,huku akiwa nje ya nchi. Rais wangu anawajua majangili,anamfahamu mmoja...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya mashabiki apasuliwa jicho kwenye vurugu Mahakamani.

    Na bado,mpaka afe mtu ili cd ziuzike kuleee!
Back
Top Bottom