Khamis Sadifa Juma: Mwenyekiti UVCCM TUJULISHANE WASIFU WAKE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Khamis Sadifa Juma: Mwenyekiti UVCCM TUJULISHANE WASIFU WAKE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Penguine, Oct 24, 2012.

 1. P

  Penguine JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Siku ya jana, UVCCM ilijichagulia Viongozi wake hususani Mwenyekiti na Makam wake. JF Members, mwenye kufahamu, nikiwa Mtanzania ambae kwa namna moja ama nyingine nawezakuathiriwa na uwepo ama utendaji wa taasisi hiyo, naomba kufahamu wasifu wa huyu kijana kwa maana ya taaluma, tabia yake ktk jamii, ukomavu wake kisiasa nk. Lengo langu ni kutaka kupima uwezo wake wa kuiongoza taasisi hiyo hasa ktk kipindi hiki cha vyama vingi.

  Karibuni
   
 2. Afroshirazy

  Afroshirazy Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mkuu huyu jamaa ni mbunge wa bunge la jamhuri la muungano kupitia jimbo la donge sasa nakushauri uangalie cv yake kwenye website ya bunge
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mwenyekiti uvccm atakusaidia nini wewe kama mwananchi?
   
 4. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  [TABLE]
  [TR]
  [TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="width: 35%"]School Name/Location [/TH]
  [TH="width: 27%"]Course/Degree/Award [/TH]
  [TH="width: 15%"]Start Date[/TH]
  [TH="width: 13%"]End Date[/TH]
  [TH="width: 10%"]Level[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Shaurimoyo Primary School[/TD]
  [TD]Primary Education[/TD]
  [TD]1990[/TD]
  [TD]1995[/TD]
  [TD]PRIMARY[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Donge Primary School[/TD]
  [TD]Primary Education[/TD]
  [TD]1995[/TD]
  [TD]1996[/TD]
  [TD]PRIMARY[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Donge Secondary School[/TD]
  [TD]O-Level Education[/TD]
  [TD]1997[/TD]
  [TD]1998[/TD]
  [TD]SECONDARY[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Hamamni Secondary School[/TD]
  [TD]O-Level Education[/TD]
  [TD]2000[/TD]
  [TD]2001[/TD]
  [TD]SECONDARY[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Tanga Technical Secondary School[/TD]
  [TD]Technical Course[/TD]
  [TD]2005[/TD]
  [TD]2005[/TD]
  [TD]CERTIFICATE[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Zanzibar Democracy School, (REDET)[/TD]
  [TD]Short Course[/TD]
  [TD]2010[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD]CERTIFICATE[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Zanzibar University[/TD]
  [TD]LLB[/TD]
  [TD]-[/TD]
  [TD]-[/TD]
  [TD]GRADUATE[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE]
  [TR]
  [TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Company Name [/TH]
  [TH]Position [/TH]
  [TH]From Date[/TH]
  [TH]To Date[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
  [TD]Member - Donge Constituency[/TD]
  [TD]2010[/TD]
  [TD]2015[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Defence and National Service of Tanzania[/TD]
  [TD]Private[/TD]
  [TD]2003[/TD]
  [TD]2006[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 5. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hii law kasoma mpaka lini, na wapi
   
 6. S

  Shembago JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kasoma Zanzibar University kuanzia __________ mpaka ________________
   
 7. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hawa jamaa wa Zanzibar tuachane nao tu.Manake hiyo education structure yao inatia si aibu tu bali kinyaa kabisa.Halafu wanajifanya wajuaji na ma UAMSHO wao
   
 8. m

  mamajack JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  haya jamani,mdebwedo!!!!!
   
 9. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jamaaa inaonekena kilaza sana Hivi kwao o level miaka 4? zen kwa hivyo vi short course vyake sidhani kama ni vigezo vya mtu kusoma Chuo Kikuu au hiyo Zanzibar University naweza kufanya degree baada ya kumaliza o level unapiga vi short course. mmmh at least vingekuwa hata diploma khekhekhekhe uvccm hawana kiongozi
   
 10. P

  Penguine JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Kiongozi kuwa politicsl analyst hakuchsgui chama. Ningependa ktk siasa za ushindani zinazoendelea hapa nchini nimfahamu mtu huyu ni nani kwa vigezo nilivyovijenga hapo juu kwenye uzi.

  Lkn pia michango hasa wa kwako inaweza kuwasaidia wanasiasa wengine kufahamu aina ya mchezaji mwenzao ktk usanja wa siasa.

  Hata hivyo tusijisahau, politics is pervassive, mtu huyu amepewa uongozi ktk taasisi ya chama kinachotawala hivyo lazima tumwelewe vema ili kweza kukabiliana nae kwa ufasaha.
   
 11. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Certificate ya Tech school, 1 year ni entry qualification kwa law studies University of Zenji? Duuuuuh, sidhani kama jamaa angeweza walau kunusa pale UD - Faculty of Law.
   
 12. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa Zanzibar, huyo ndo msomi aliye bobea!
   
 13. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,778
  Likes Received: 1,201
  Trophy Points: 280
  mkuu shembago umenivunja mbavu kweli,sasa hiyo halmashauri kuu iliyoteua majina ya wagombea iliridhika na hayo maelezo ya elimu ya mgombea?
   
 14. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,778
  Likes Received: 1,201
  Trophy Points: 280
  sasa tunataka kuona akifanya kazi ya siasa ya kujenga chama kama anavyofanya mwenzake john heche wa chadema.hivi vyama vingine havina wenyeviti wa vijana,mbona tunamuona heche tu?
   
 15. y

  yeromin Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 8, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Donge Secondary School O-Level Education 1997 1998 SECONDARY
  Hamamni Secondary School O-Level Education 2000 2001 SECONDARY

  O level kasoma 1997-1998 halafu akasoma tena 2000-01.
  hapo kati mwaka 1999-2000 alikua wapi na alikua anafanya nini? Kweli Magamba ni soo
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mkuu usiwe na dhihaka za kipuuzi.
   
 17. F

  Fukuyama Senior Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Dah mi napita tu hapa....
   
 18. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wengi wetu tunaulaumu mfumo wa elimu yetu,sasa hakuna haja ya kum judge mtu kwa elimu usiyoiamini.
   
 19. B

  BWANANDUGU Member

  #19
  Oct 19, 2014
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kujua alipo huyu mtu kwani toka achaguliwe sijasikia alichokifanya. Amewaacha vijana wa CCM kama yatima wasijue pakwenda.
   
 20. ZigiZaga

  ZigiZaga JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2014
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 784
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Cdm imemufunika huyu! Hana uwezo kabisa wa kuendana na kac ya bavicha! Alafu madisad ndani yaccm ndo hivyo tens wamembana
   
Loading...