Wana jf
Katika hali ya kusikitisha kwa wanaccm kukubuhi kwa mapenzi ya chama imejidhihirisha hilo pale walipoamua kumshawishi mwenyekiti wa Kitongoji anayemaliza muda wake kupitia chama cha CUF aweze kujiunga na chama hicho kwakuwa wanaona ataleta upinzani mkubwa kwa mgombea wao wa udiwani ili aweze kuchaguliwa kuwa diwani wa kata hiyo ambayo ni mpya. Hii inamaana kwamba wanapenda chama kuliko mtu.
Je haiwezekani kumchagua mtu makini hata kama sio mwana CCM?
Tabia hii itafika mwisho lini kwa wana CCM ya kupenda chama kuliko mtu anayeweza kuleta mabadiliko ya kweli?