Recent content by Bwanafimbo

  1. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

    Part two yake mbona haionekani!!?
  2. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwanini Kijana mdogo, Emmanuel Macron ana mke mzee hivi?

    Sijakuelewa Bro. Malalamiko yako ni yapi!!?
  3. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Ngao Ya Jamii, 2019: Simba SC yaichakaza Azam FC goli 4-2 kuchukua Ngao hiyo

    Ngapi huko!!?
  4. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Mshahara nao tumegomewa!!!!

    Mwisho wa mwz bado, kwahiyo usiwe na pressure, bado siku saba mpk mwisho wa mwezi, kule kuwahi kwa mishahara miezi ya nyuma ni bahati mbaya tu!!!
  5. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Askari Polisi feki Rajab Ramadhan adakwa akiwa na Bastola feki na Sare za Polisi

    Jkt hiyo!!! Imemfanya awe jasiri hadi kwenye nyara za serikali! Duh! atapata taaabu saana
  6. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuweka terrazo vs paving block

    Mi mgeni kwenye huo ulimwengu wa kutumia hizo mambo kwenye ujenzi naombeni maelekezo, maana naijua tiles na cement
  7. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ajichinja hadi kufa kutokana na mgogoro baina ya wake zake

    Ndiyo unamaana gani?
  8. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Wapemba Ni watu poa sana

    [emoji7]
  9. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ajichinja hadi kufa kutokana na mgogoro baina ya wake zake

    kakosea kujiua, hiyo ugomvi ndiyo ulikua wa kuondolea stress, ukirudi nyumbani unawaita wagombane mbele yako unachek muvi, ukichoka unawaamulia na kuwaambia tutaendelea kesho Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Hata nipigwe bani, kamwe sitetereki!

    Bani!!!!? Niondoleeni utata bhasi jmn Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Bwanafimbo

    JamiiForums Tanzania Kulikoni yale mabati kwenye ukuta wa uzio wa Ikulu...?

    Bati Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom