Kifupi unatuhadithia hapa unafanya kazi kikampuni cha uchochoroni.
Kampuni kubwa ukishindwana mshahara na HR unapelekwa vipi kwa boss? boss ni nani? MD? CEO? GM? maana yake ulipelekwa kwa mwenye kampuni.
Halafu kingine kampuni kubwa na za maana zina watu wengi mno na wamesoma vizuri kiasi kwamba...
Rulling za mahakani zinategemea vifungu vya sheria sio busara,hekima wala mihemuko.
Mwacheni apate nakala ya hukumu ndiyo aende kukata rufaa kule wanaangalia sana case scenario na uwezekano wa kupunguziwa adhabu upo.
Wakuu habarini za majukumu?
Naamini mnaendelea kuchukua tahadhari katika kujikinga na janga linalotukabili sasa hivi la COVID-19.
Mimi nimebisha hodi humu jukwaani kuwaomba mnisaidie soft copy ya kitabu cha profesa Euphrase Kezilahabi kiitwacho DUNIA UWANJA WA FUJO.
Kwa mwenye nacho anaweza...
Kuwa vitani haulazimiki kuwa kwenye mapigano muda wote.
Hawa maaskari wa Kijapan walioendelea kupigana baada ya vita ya pili ya dunia siyo kwamba muda wote walikuwa wanapigana.
Muda mwingi waliutumia kujificha na kufanya mashambulizi ya kushtukiza kwa maaskari wa Kimarekani kabla hawajaondoka...
Ni kweli kabisa mkuu.
Risasi na silaha nyingine alizipata kwa kuwaua maaskari waliokuwa wanapita kufanya doria.
Kwenye medani za kivita hata kama hupigani lakini ukiwa haujaripoti kwa waliokupa amri ya kupigana wakati vita imemalizika na hakuna taarifa za uhakika kuhusu kifo chako basi...
Samahani sikukumbuka kuambatanisha picha lakini kuna mchangiaji naona ameweka picha kadhaa. Ni mara yangu ya kwanza kabisa kuweka bandiko humu JF ingawa si mgeni.
Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.
Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
"Usikurupukie biashara kama hauna information za kutosha na za uhakika"
Hii ni kweli kabisa but the saddest truth is that information za uhakika kuhusu biashara fulani huwa zinapatikana field.
Yaani ni vigumu sana kujifunza biashara kwa kuhadithiwa au kuhudhuria semina.
Hizo huwa ni preliminary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.