Naomba msaada wa soft copy ya kitabu cha "Dunia uwanja wa fujo" by E.Kezilahabi

Bwana Mkubwa9

Member
Oct 15, 2016
61
150
Wakuu habarini za majukumu?

Naamini mnaendelea kuchukua tahadhari katika kujikinga na janga linalotukabili sasa hivi la COVID-19.
Mimi nimebisha hodi humu jukwaani kuwaomba mnisaidie soft copy ya kitabu cha profesa Euphrase Kezilahabi kiitwacho DUNIA UWANJA WA FUJO.

Kwa mwenye nacho anaweza kunisaidia kwa kukiambatanisha hapa kwenye sehemu ya michango ama kwa njia yoyote atakayoona inafaa kama vile email au Whatsapp. Pia anaweza hata kunisaidia kiunganishi(link) nikaenda kukipakua au kukisoma.

Natanguliza shukrani pia nawatakia maisha mema na mjihadhari ninyi na familia zenu juu ya hili janga la COVID-19.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom