Recent content by Bwana Miti

  1. B

    Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    IMEJITAHIDI SANA ZAMANI KOROSHO HAIKUWAHI FIKA 2700
  2. B

    Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    NA KWANINI HAWAKUIGOMEA BEI ELEKEZI YA SERIKALI? AMBAYO NI 1550, MAANA YAKE MNUNUZI ANAYENUNUA ASISHUKE 1550 SASA MTU KAFIKA 2700 MNASEMA NDOGO
  3. B

    Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    WACHA WAENDELEE KUSEMA NDOGO, WAKATI INASEMEKANA BEI ITASHUKA MPAKA 1800.
  4. B

    Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    HAPANA JAMANI, HII BEI YA KOROSHO YA MIAKA HII MIWILI ILIYOPITA IKAFIKA MPAKA ELFU 4, HAIKUWA BEI HALISI YA KOROSHO ILIKUWA NI KWASABABU YA UHITAJI HUKO DUNIANI. SASA SOKO LA KOROSHO DUNIANI LIMESHUKA KWA 50% MNATEGEMEA WANUNUZI BADO WANUNUE KWA BEI ILE ILE? NA TUKUMBUKE BEI YA SERIKALI NI 1550...
  5. B

    Wakulima wa mahindi walia bei Njombe Tsh. 4500 kwa debe huku Dsm 18,000

    JAMANI NASIKIA SERIKALI IMERUHUSU MAHINDI KUUZWA NJE,,,,,JE NI HABARI ZA KWELI?
  6. B

    Wakulima wa mahindi walia bei Njombe Tsh. 4500 kwa debe huku Dsm 18,000

    JAMANI NASIKIA SERIKALI IMERUHUSU MAHINDI KUUZWA NJE,,,,,JE NI HABARI ZA KWELI?
  7. B

    Picha: Kumbe gari AGX 404 MC lenyewe ndo hili lililomteka MO!

    yawezekana zimeombwa kutoka msumbiji, maana si unajua magari huwa yanapigwa picha unapotaka kuyafanyia insurence?
  8. B

    Tusipokuwa makini, kifuatacho ni kusikia ajali za Mabasi ya Mwendo kasi na Treni ya Stesheni-Pugu

    mie kwakweli sijawahi jua idadi kamili ya yale mabasi yanatakiwa kubeba watuwangapi. maana tunajaa sana.
  9. B

    Tusipokuwa makini, kifuatacho ni kusikia ajali za Mabasi ya Mwendo kasi na Treni ya Stesheni-Pugu

    Mimi ni mkazi wa mbezi ya kimara, natumia sana usafiri wa mwendokasi, baada ya laumu ninayoendelea kuisikia kuhusu idadi ya watu na vitu katika kivuko cha Mv Nyerere nikakumbuka jinsi ambavyo tunajaaga kwenye mabasi ya mwendokasi. Tunaomba mamlaka husika ziliangalie hili maana isije kuja tokea...
  10. B

    Nini sababu ya gari ya petrol kutoa moshi

    hahahaha, umenikosha sana ndugu yangu ingawa ni sms ya siku nyingi ila imejibu swali langu la leo.
  11. B

    Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

    hahahaha, kuna watu wako makao makuu wanacheza na kalukuleta muda woote.
Back
Top Bottom