Recent content by Bwana Kiwuyo

  1. Bwana Kiwuyo

    Membe asihusishwe na wanaotajwa katika IPTL

    kumhusisha Jack Gothan na IPTL Saga hawana lolote zaidi ya kutaka kumchafua Membe kwa mlango wa nyuma. Ni political science ya kawaida sana kwamba ukimshindwa mtu au mchungaji basi piga kondoo wake watawanyike ili uweze kumvaa kirahisi. Hata hivyo kwa wengine tumebahatika kuchungulia report ya...
  2. Bwana Kiwuyo

    Membe asihusishwe na wanaotajwa katika IPTL

    Jamii Forums ni moja ya vyanzo vya habari au tetesi zinazoendelea nchini iwe ni za ukweli au za uwongo.Ila kwa asilimia kubwa habari za Jamii Forums ni za kimihemko zaidi na kuvunjiana heshima au kuharibiana malengo na maisha ya kisiasa,uchumi au kijamii. Sisi marafiki zake Membe tumesoma...
  3. Bwana Kiwuyo

    Aibu kwa baadhi vyombo vya habari wa TANZANIA

    Aibu kwa waandishi wa habari wa TANZANIA. WAKATI waandishi wa habari watakutana Bagamoyo wiki hii kujadili tasnia yao tokea kuanza kwa vyombo huru vya habari, magazeti ya Tanzania Daima na Mtanzania leo yameonyesha kuwa yanaendeshwa kwa amri ya mtu mmoja ama yanamilikiwa na mtu mmoja kama sio...
  4. Bwana Kiwuyo

    ACT-Tanzania na Azimio la Arusha; Maono! au Mawazo Upogo!?

    #UshauriWaBure :: Kama chama makini Na naamini mna vijana wasomi pia..Hebu tengenezeni Webmail ya Chama chenu..mambo ya kutumia @gmai.com na yahoo.com yamepitwa na wakati kwa profesional people kama nyinyi. #SamahaniLakini
  5. Bwana Kiwuyo

    MOFED Tanzania Limited

    Kwanza huyo aliyeandika Bio Ya Kampuni Sielewi ameishia kidato cha ngapi maaana..Even ma kinderga10 kid can write a good one for them..
  6. Bwana Kiwuyo

    Mh.Membe aiteka Kanda ya Ziwa.

    Ni nadra sana kwa wanasiasa nchini kukubalika kwa kiasi kikubwa mikoa ya Kanda ya Ziwa kutokana na ushindani mkubwa wa kisiasa nchini hususani ndani ya Chama Cha Mapinduzi.Ila Mh.Bernard Kamillius Membe kwake imekuwa tofauti. Jana akiwa ameongozana na kundi la marafiki zake,wafuasi wake na...
  7. Bwana Kiwuyo

    Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Mara ampongeza Mh. Membe

    Membe alikuwa katika system,je katika idara gani?Lets argue kwa facts.Tuache kulalamika.Mbona aliyesema ajira ni bomu la taifa linalosubiri kulipuka anaaminisha kuwa pekee anaweza kutatua matatizo ya nchi!?
  8. Bwana Kiwuyo

    Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Mara ampongeza Mh. Membe

    Wazungu wana msemo wao kuwa,"If you cant fight them,join them".Jana msemo huu umejidhirisha hadharani baada ya Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Manyara Komredi Regina Ndege kukubali kuwa Mh.Membe ndiye kiongozi anayefaa kuongoza nchi. Hii imetokea baada ya Mh.Membe kuzungumzia kwa ustadi mkubwa...
Back
Top Bottom