Daah hiili suala linahuzunisha sana kuna Jamaa Jana alikua anasimulia ameshindwa kuoa sababu ya Mahari yaani unaambiwa ukweni walimwambia alipe Million 2 na Laki 5, shughuli anazofanya na malipo ya mahari haviendani kabisa hivyo amebaki kuishi uchumba sugu huu mwaka wa 10 bado hajaoa mke...
Upo wewe hawajakuweka kwenye 18 zao tu wakakupigia show ndio maana hujui, sio mazingaraombwe ila uchawi upo hata vitabu vitakatifu vinataja uwepo huo
Soma biblia kuna Jamaa aliepandwa na mapepo alikutana na Yesu akamuuliza unaitwa nani? Akajibu 'Jeshiiiiii' maana yake 'tupo wengi'
Wee jombaaa mbona Dingirai umemuweka kwa fyede hapo Arif?
Kuna Baba wanajua kupambania watoto wao Mpaka tone lao la mwisho la jasho na damu Mpaka pumzi yao ya mwisho 'Baba' anapambana kwa ajili ya mtoto wake
Usimsahau 'Baba' aise muongezee hapo
Yesu mwenyewe alisema
'Mikononi mwako Baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.