Kweli kabisa, niliwatembelea nikapata jibu hilo, kuwa hawafanyi kazi bila maandishi na kwamba hadi Bodi itakapokaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutapishana nao kwenye corridors za mahospitali, tukiwa ktk wheel chsirs, sisi wastaafu tukiwa tumepooza kwa frustration wanazotusababishia, na wao wakiwa na wanaugua kisukari baada ya kula walivyojilimbikizia kutokana na jasho letu!!!
Hivi nani aliwaambia michango tuliyokuwa tunatoa miaka yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.