Euro 2016? Bellarabi, Gotze, schullre, mbona nao walikuwepo. Sane alicheza mechi ngapi kwenye hiyo euro? Na kama unakumbuka vzri kwenye hiyo euro low alishawahi kumzungumzia kwamba sane hajitumi na ni mvivu wanapokua mazoezini.
Kwenye confederation cup mwaka jana, sane alijitoa kwenye...
Mkuu sane katika mechi 12 za timu ya taifa alizocheza hajafunga goli hata moja na ka assist moja tu, watu wanapiga kelele lakini hawajamuona sane akiwa na timu ya taifa, sio sane huyo wa man city, sijawahi muona sane akicheza vzr akiwa na NT.
Mbali na hilo saizi sane anacheza akitokea kushoto...
Bundesliga >laliga>serie A>epl
Zaidi ya pesa na matangazo epl hakuna kitu.
Bundesliga inaongoza kuwa na mpira mzuri wenye kasi na kuvutia, atmosphere ya uwanjani inavutia kuliko ligi ytte duniani.
Ujerumani kuna kitu kinaitwa 50+1 ownership rule, ambapo mashabiki wanakua na nguvu zaidi kuhusu timu kuliko commercial investors,
Walichokifanya Redbulls kwenye timu ya Leipzig ni kubadilisha majority share holders na kwamba mashabiki wao ndio wenye timu then Redbulls ni second owner (kwa...
Ujerumani kuna sheria inaitwa 50+1 rule, ambapo asilimia 50 ya hisa inatakiwa kumilikiwa na wanachama wale ambao ni season ticket holder, hii ndio inafanya wanachama ama mashabiki kuwa na nguvu sana kwenye club za ujerumani tofauti na ligi zingine
Hakuna timu ya kuizuia ujerumani mkuu, tatizo la ujerumani kwenye hizi WCQ lilikua ni striker lakini saizi kuna damu changa zinakuja kwa kasi sana, hadi kufika mwakani watakua wamesha zoea mikiki mikiki, upande wa golikipa, beki na mido hakuna shida yyte.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.