Yap hiyo ajali kweli imetokea source ni abiria aliyekuwa anasafiri leo na kimbinyiko ya saa tano inayotoka dsm kwenda dodoma wameishuhudia hiyo ajali na pia wameweza kuondoka na majeruhi pamoja na abiria wengine kuelekea dodoma...idadi ya watu waliopoteza maisha sifahamu ila ajali ni ya uso kwa...
Yani kweli serikali yetu imelala, mtu anasadikika kufoji umri wake kwenye nakala mbalimbali...leseni,passport,na cheti cha kuzaliwa lakini vyombo husika vimekaa kimya tuu kama vile hawafahamu kugushi ni kosa la jinai...mm kwa upuuzi huu nabadili uraia wangu maana huu upuuzi hauvumiliki wala...
Kazi nzur Diamond umeifanya tz na bongo fleva kufahamika kimataifa kwa sababu miaka mitatu au minne iliyopita tz tulikuwa tunakimbizwa na jirani zetu Kenya na Uganda kupitia video lakini uthubutu wako umeifanya tz kuwaacha mbali sana hao jamaa vile vile umeamsha hali hata kwa video producers...
Yap that true tena usiombee akufunge coz Wenyewe wanaozijua sheria wanakwambia at the end of the day bill of cost zinaitwa nazani kama sijakosea unapaswa kuzilipa zote....so nia au kusudio la kukufunga ni kukutikisa hata kama unakahela kako ka ngama au kuna ndugu na jamaa wapo wenye uwezo...
Mkuu inaonyesha hata ww sio mdau wa sheria au km ni mdau basi mzembe coz umeshindwa kufahamu kuwa kesi ya madai inamfunga mtu...NOTE. Kesi ya madai mdaiwa anafungwa na mdai anatakiwa kumlipia mdaiwa gharama za matumizi pindi atakapokua jela...
Wadau za asubuhi, mimi kuna katatizo kadogo kwenye lips zangu kwa kweli kananikera, ni mda sasa hizi lips zangu upande wa chini ya mdomo zimekua zimeungua Yani kama nakunywa pombe kali sasa sijui nawezaje tatua tatizo hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.