Mimi siyo mtaalam sana wa mpira ila nilivyoona uchezaji wa Yanga kwenye mechi ya Geita Gold na Gaborone United hadi washabiki tunaomba Mungu mechi ziishe, nikajua hatuwezi kuifunga Simba this time. Ukichangia na sub za kocha nikasema hatutoboi. Mimi sikupoteza muda kuangalia hiyo mechi...
Hizi mila nyingine ni za kipuuzi kabisa!!! Yaani mtu kawazalia watoto wanne halafu eti mahari irudishwe????!!!! Ndiyo sababu mimi suala la mahari sitaki kulisikia kabisa!!!!
Umeandika kwa uchungu sana. Lakini kila siku huwa nauliza. Hivi kweli katika maisha ya kawaida, mwanaume anafanya hayo YOTE mazuri uliyoandika kwa mke wake. Hivi ni mwanamke gani ambaye anapendwa na mume wake anafanyiwa kila zuri na mume wake atataka kuharibu huo uhusiano au ndoa from...
Nyie si huwa mnatamba kabisa kuwa mwanaume HAWEZI kuwa na mwanamke mmoja!!! Kwamba mna haki zaidi? Kwamba nyie ni binadamu zaidi? Kwamba mna tamaa zaidi?
Wewe mke wako akikuzaba kibao utaona ni sawa tu??? Hivi nyie kenge nani kawaambia kuwa wanawake ni sawa na ng'ombe au mbuzi kwenye mahusiano?
Nani kawaambia kuwa wanawake wameumbwa kwa vyuma na siyo flesh and blood just like you? Siyo body and soul like you?
Kwa nini mnataka avumilie vitu...
Watu kama hao nadhani wanaona Bibi zao, Mama zao, shangazi zao, Dada zao, wake zao, binti zao ndiyo maisha wanayoishi kwa hiyo wanadhani wanawake WOTE ndiyo maisha yao!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.