Recent content by buyekera

  1. buyekera

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wanalalamika uandikishaji wa watoto darasa la kwanza

    Hahahahahahahhaha vigezo na mashart kuzingatiwa
  2. buyekera

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wanalalamika uandikishaji wa watoto darasa la kwanza

    Mwanangu ana miaka mitano na miez miwili anajua kusoma tena hata maneno yanayopita kwenye tv chini anasoma vizuri tu na hesabu za saizi yake anajua vizuri tu lakini wamekataa kuingia darasa la kwanza mwakani eti umri mdogo
  3. buyekera

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo ni mmoja ya wana CCM waliokopa Twiga Bancorp?

    Wakimaliza wanawashawishi waandishi na wahariri wake kuandamana mshahara mdogo
  4. buyekera

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Hakuna lolote hapa,miaka mitano sio mingi mtakuja humu humu kumuuliza alichokifanya,lakini hili litakuwa fundisho na limeshakuwa fundisho kwa wapiga kura kukurupuka na kufanya maamuzi bila kuwaza mbele kutatokea nini,hii ni sawa tungemrudisha Mujuni Joseph Kataraia tungetegemea jipya gani katika...
  5. buyekera

    JamiiForums Tanzania Mchango wa mbunge wa Bukoba mjini bungeni, bwana Lwakatare

    Anayo ila sio kama aliyojenga dar
  6. buyekera

    JamiiForums Tanzania Mchango wa mbunge wa Bukoba mjini bungeni, bwana Lwakatare

    Yy mbn alijenga Dar nyumba nzuri kwann acngeijenga bukoba tukaona kuwa yy c mkataa kwao hadithi awaadithie watu wengine huku bk hana sauti tena
  7. buyekera

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kwanini Nape na sio Bashe?

    Sawa kbs
  8. buyekera

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Mara safari yaiva kuelekea Dodoma

    Dili zilishapangwa kupigwa hapo visingizio haviishi tu
  9. buyekera

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Msimshangae ndizo akili zake lipumba,ngoja tuone itakuwaje isije ikawa njaa imemuuma sana katamani pesa za kaka Mkubwa
  10. buyekera

    JamiiForums Tanzania Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

    Umemjibu vizuri sana
  11. buyekera

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Laini ya Tigopesa, Airtel Money & M-pesa

    Uko wapi mkuu ninazo hzo zote
  12. buyekera

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    wasanii ndio wameandaa na kumuita rais acheni kupotosha umma
  13. buyekera

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya wananchi wa Jiji la Dar wampokea John Magufuli na Mgombea Mwenza, Samia Suluhu

    huyu alidhan ccm ni km wao waopanga nani apite nani asipite bila kupiga kura?ccm mbele kwa mbele shauri yao wataisoma namba gari hiloooooooooooo
Back
Top Bottom