Recent content by buyegiboseba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nape athibitisha yeye ni chaguo la vijana

    I see!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya Jet Fighter uwanja wa ndege Dar, tumempoteza kamanda mmoja

    Whatever it is ,is a loss,big loss of life and the jet,may God be a companion to those remaining
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vurugu Z'bar:Askari mwingine auawa

    Hizi damu za kuchinjana zina laana mbaya sana maana huwa zinamlilia Mungu toka ardhini,believers wake up for prayers,this contrary spirit ig gaining speed!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dalili za Jei Wii kuitwaa Zenji sasa zinaonekana wazi wazi kabisa

    God shall see us through Gloriously,wao wanataja pesa na nchi za kukimbilia sisi tunalitaja jina la Bwana,mkono wa Mungu haukimbiwi maana uko mahali pote,wasidhani watasalimika kwa kutoroka nchi,wana wa Gadhafi walikimbia nchi lakini walikamatwa.Kwa kumtegemea Mungu wetu mwaminifu tutashinda
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Mungu anashughulika na roho hii ya uponda na uamsho,baada ya dhiki...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Lutheran!!Kweli Wakristo ni wana kondoo!

    Nina mashaka na ukristo wako ndugu
  7. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Angalia usijaribiwe ndugu,hatupigani vita vya damu na nyama,pigana vita vya kiroho,utaona matokeo hadharani,Mungu wetu hasaidiwa wala hatetewi na mwanadamu,hupigana mwenyewe na kisasi ni juu yake na sio juu yetu
  8. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Yana mwisho haya!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atajwa kuandaliwa kuwa Katibu Mkuu CCM

    Mh! kwa ccm yote yanawezekana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Lowassa, Hongera CCM kwa kukata ngebe

    Ninaamini 100% sio wewe unaezungumza haya! hakuna tija yoyote kuwagusa watumishi wa Mungu,bali ni kutafuta laana tu! hata jina unalotumia latosha kukukumbusha kuwa you are driving along the wrong road.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

    Maazimio mazito sana,tutarajie ngojera za tendwa na nape very soon
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Intelegensia leo haina kazi kwani nayo imeenda kuswali muda wa maandamano!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Vip gari za washawasha,bunduki za flying objects na mabomu aina ya mwangosi yapo around?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi Tanzania tuache dhulma.

    Du inaonekana una hasira nao vibaya mpaka imepekelekea kujiunga na JF faster,ndo kamtindo kao hako,waulize makarani wa sensa watakupa experience zaidi!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Re: Ajabu madodoso ya sensa yaisha,zatumika photocopy!

    kama kukusanya data tu ni photocopy, vip uhalisia wa taarifa zake? kama nchi something is very wrong somewhere,kwa stail hii,hikuwako haja ya kufanya sensa,wangesubiri wajipange vizuri,zoezi la once in ten years linafanyika kihuni! So sad!
Back
Top Bottom