Dalili za Jei Wii kuitwaa Zenji sasa zinaonekana wazi wazi kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili za Jei Wii kuitwaa Zenji sasa zinaonekana wazi wazi kabisa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by President Elect, Oct 19, 2012.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jana tumeshuhudia polisi huko visiwani wakiomba msaada toka vikosi vingine vya ulinzi na usalama baada ya kuzidiwa nguvu. Hali ni tete ikiendelea, huenda majeda wakatumia mwanya huu kuitwaa zenji jumla na kuzima chokochoko za kuvunja muungano.
   
 2. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mweshimiwa yuko oman kwenye mikutano ya kuitangaza nchi babaangu hawezi kurudi mpaka siku ziishe hata tuchinjane tubaki 2
   
 3. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  God shall see us through Gloriously,wao wanataja pesa na nchi za kukimbilia sisi tunalitaja jina la Bwana,mkono wa Mungu haukimbiwi maana uko mahali pote,wasidhani watasalimika kwa kutoroka nchi,wana wa Gadhafi walikimbia nchi lakini walikamatwa.Kwa kumtegemea Mungu wetu mwaminifu tutashinda
   
 4. d

  delako JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 2,000
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Nachelea kuamin km jeshi letu la police na askar wote wa tz,maafisa usalama na hata makamanda wote wa nchi wanashindwa kuueleza umma nini chanzo cha mitafaruku hii'UKIUDHARAU MWIBA MGUU HUOTA TENDE"
  labda wanatusubir wakristo uvumiliv utushinde tupo watupg
   
 5. KATUMBACHAKO

  KATUMBACHAKO JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Akipelekwa 'kamanda' wangu Ramadhani Ighondu aliyemteka Dr. Uli atatuliza kila vurugu huko zenj
   
 6. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hiv yule jamaa aliepotea zenji ameonekana?

  hiv kule kuna mwambepande au wamemtosa baharini?

  manake km wamemtupa baharirin ndo hivyo tena
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa jamaa yupo mafichoni.
   
 8. KATUMBACHAKO

  KATUMBACHAKO JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  atakuwa kafukuzwa kazi,maan ameshindwa kazi aliyotumwa ya kumuua ulimboka! So i think kafukuzwa
   
 9. awp

  awp JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  bora wajeda wachukue nchi tulale saa kumi tuzidi kuzaaana
   
 10. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nchi haina rais
   
Loading...