Ummmhyyy.... Bas ata wafanyakazi hewa warudishwe ata wao walifanya kazi kwa weledi mkubwa. Sheria ni msumeno kama kafoji kweli sheria zipo wazi tu. Usikubali kutumwa tena
Inategemea na level ya vyuo mfano kaamua kusoma certificate, diploma au degree kwani vyote ana sifa vilevile na course asomayo mfano elimu, afya nk Hivyo, ili apate kujua vyuo vya serikali na binafsi angalia guiding book ya vyuo kupitia nacte na tcu
M namshauri aangalie namna hata kujitolea ili apate mshiko wa kumwezesha kwenda chuo mwaka kesho. Na inabidi ajitaidi kuomba vyuo vya serikali vyenye gharama nafuu. Jkt anaweza kwenda kutimiza azma ya serikali japo si lazma kwani sasa angekuwa chuoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.