Buyagakibunje
Member
- Nov 17, 2016
- 9
- 4
Naomba msaada wa kisheria, kama mtu amepotewa na cheti au kuungua na moto anaweza kukipata tena NECTA??
Majibu yako yangekuwa ni msaada tosha kwa wengine wenye matatizo yanayofanana na hili, lakini unapoingiza utani kwenye mambo ya msingi haiingii akilini hata kidogo! Ni lini sisi wa Tanzania tutakuwa na utamaduni wa kuheshimu mawazo ya watu wengine? Tujirekebishe na kulipa hadhi jukwaa hili! Periodanaanza kusoma la kwanza mpaka la saba. halaf form one hadi four then nakuendelea
Kupotelewa kwa vyeti hakukuti miti.anaanza kusoma la kwanza mpaka la saba. halaf form one hadi four then nakuendelea
VIP umepotelewa na vyeti nin?maana kuna vyeti viliokotwa,Majibu yako yangekuwa ni msaada tosha kwa wengine wenye matatizo yanayofanana na hili, lakini unapoingiza utani kwenye mambo ya msingi haiingii akilini hata kidogo! Ni lini sisi wa Tanzania tutakuwa na utamaduni wa kuheshimu mawazo ya watu wengine? Tujirekebishe na kulipa hadhi jukwaa hili! Period